Knight rider
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 455
- 685
Kwenye harusi hatuendi kushiba wakuu tunaenda kujazilizia tu,Jamaa anataka mke wa Bure[emoji23][emoji23] kwenye harusi Yao tutashiba kweli
Shiba kwanza nyumbani kwako kwingine utajazia mbele kwa mbele.