Mjegejo Wa Begeju
Member
- Jun 17, 2023
- 93
- 239
- Thread starter
- #121
Uhuni na huu ni uuzaji wa binadamu. Kupeana asante tunaweza na sikatai. Suala la matunzo hata mimi nimetunzwa pia. Wanataka kuondoa mfumo dume ila wanachagua yale ambayo wanayataka na wasiyoyataka.Ni uhuni tuu na Mila za kishenzi.
Kumuuza Binti yako sio uungwana.
Unataka Mahari Kwa vigezo vipi?
Kama ulimlea Binti yako hata huyo kijana alilelewa na Wazazi wake,
Binti ndio ataje Mahari, Kwa sababu yeye ndiye muolewaji, yeye ndiye MKE mtarajiwa na ndiye mwenye uhitaji wa kuolewa.
Mzazi anataka Mahari Kwa misingi ipi?