Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Asante nitalichukua hili
Naona wanaume hapa wanakuzingua tu kwenye majibu ila ukweli ni kwamba huyo sio mpenz ni player tu na atakua na mtu wake. Hana malengo yeyote na wewe ukibeba mimba inakula kwao. ACHANA NAE
 
Kwa hiyo unatangaza tujue kuwa huwa mnafanya zinaa?
 
Wewe sez unaona sio kitu cha maana?

Kwenye maisha ya mwanaume sex ni namba moja, ndio kitu cha maana kuliko kitu chochote. Sasa wewe kama unaona sio cha maana utapata shida sana na wanaume.

Mwanaume yoyote aliekamilika huwaza sex kwa siku kila baada ya dakika kadhaa. Vitu vingine vyote hufuata baada ya sex.

Wewe unataka mkikutana muongelee matofali tu, sio?
 
Dada Njoo Inbox tuyajenge. Mimi ninatafuta binti wa miaka 24 - 30. Niwe na mahusiano serious naye.
 
Po
naona Umebeba hilo tu katika yote niliyo yaongea… hujaona Kama jamaa yeye kunitafuta kwake mara nyingi ni ile amenimiss tuonane tusex.. hatuwezi tu kuongea mambo mengine zaidi ya hilo.. mtu anakaa siku 3 akikutafuta ni I miss you so much sijui nikuone lini nyenyenyenye.. and after sex nikiondoka kwake haniulizi chochote kama nimefika salama anakaa tena hata wiki anajishtukia ndio ananitafuta

Unaona ni sawa Mimi niendelee kumpa anachohitaji halafu mimi hisia zangu hazingatii
 
Mimi sijaja hapa kutafuta mahusiano nimekuja kutaka ushaurii ukitaka mpnz jukwaa la love connected
Dada Njoo Inbox tuyajenge. Mimi ninatafuta binti wa miaka 24 - 30. Niwe na mahusiano serious naye.
i
 
Kabisa na kuwa anonymous raha sana
Yeah hapa ukimuelezea rafiki yako anayazagaza bora humu Hakuna anaenijua na uzuri matukio kama haya yanafanana na sijatoa code yote sio rahisi mtu kunijua ama kumjua anaezungumziwa
 
mpe Mixx by Yass
 
Hapa umesema huyu ni mwanaume wako wa pili wakwanza alifariki . Hapa nimeona malalamiko yako kwenye uzi mwingine je huyu ulimuhesabu?

Pia october 26 ulikuwa unatafuta kazi ambapo ulisema mlikutana kazini na mahusiani yako ni ya miezi minne. Kwahiyo nayo ni uongo pia

Hapa ulikuwa unalalamika hakupi nauli wakati hapa umesema anakupa nauli tu

Je huyu unayesema alikuambukiza fungus ambaye humataki tena ni mwingine?
Post in thread 'Haijalishi umepania namna gani, waza mara mbili. Hakuna kitu kinauma kama kumeza dawa za ARV kila siku maisha yako yote' Haijalishi umepania namna gani, waza mara mbili. Hakuna kitu kinauma kama kumeza dawa za ARV kila siku maisha yako yote
 
Yupo na wewe kimachale anaogopa atakufa kama alivyo kufa ex-wako.unaonekana unanuksi mbona ex wako afe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…