hiyo Wiki ndugu hatuendi kazini?? Mimi naishi kwetu siwezi kwenda kushinda kwake…Fanya hivi Tenga wiki moja ukae nae kuanzia j3 had jumapili tafuteni siku mtakazo kua free,then muangalie kuhusu utumiaji wake wa simu, maana Mimi pia ni mvivu wa kupiga au kutuma maseji.
Pia hapo utapata kipimo Cha namna anavyo jiskia yeye ukiwepo wewe maana inawezekanaa kweny simu hafurahii Sanaa tofauti na mkiwa wote.
Mimi bado moyo kuwa mgumu hivyoKunaepukika vizuri tu. Inategemea na wewe unavyoruhusu moyo wako uchakate mambo. Nimelizwa sana hapo mwanzo we acha tu. Kipindi hicho moyo ndo ulikuwa unanidirect.
Pole mrembo, mapenzi hayana formula ila inapofika sehem unakopesha mbususu my love sio sehemu salama kimbia, au mashine yake ndo imekudatisha coz kuna venue mnasema kuna men Moja mnampea buree sab ya misosomolo japo bado unafel. PoleeKuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…
Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex
Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda
Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah
Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…
Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia
Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…
Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia
Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa
Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake
Toa hapa ushaurinjoo pm nkupe ushauri bure kbsa hawa watu nawajua hawafai kbx
Sio kwamba naenjoy sana ni vile naogopa body count kuongezekaPole mrembo, mapenzi hayana formula ila inapofika sehem unakopesha mbususu my love sio sehemu salama kimbia, au mashine yake ndo imekudatisha coz kuna venue mnasema kuna men Moja mnampea buree sab ya misosomolo japo bado unafel. Polee
Ila watu mnarejeleaaame sahau script 😂😆
Hapana jiongeze kidogo kama umeshindwa kumuacha lakn jitaftie mbadala wake ambae ana muelekeo hyo atakupotezea muda na ameona uko cheap mda wwte anakukula so take care muda unasongaSio kwamba naenjoy sana ni vile naogopa body count kuongezeka
SawaIla watu mnarejeleaa
Hapana jiongeze kidogo kama umeshindwa kumuacha lakn jitaftie mbadala wake ambae ana muelekeo hyo atakupotezea muda na ameona uko cheap mda wwte anakukula so take care muda unasonga
H
hiyo Wiki ndugu hatuendi kazini?? Mimi naishi kwetu siwezi kwenda kushinda kwake…
Tukiwa wote tunaiga story na yuko vizuri ila huwezi amini anaweza kutoka anaenda dukani ukamtumia sms hakujibu na upo kwake….
Kingine tunachart tu ukiona kanipigia simu ujue tunaenda kuonana ndio atapiga ila ni kuchart tu no calls (wasukuma tatizo nini shenzii 🤣🤣)
Mimi kuna kipindi nilikuwa naona dunia haina maana. Nilikuwa sili kabisa. Nashukuru alibadilika soon baada ya mimi kumaliza chuo, haki ningefeli. Sio huyo tu, hapo nyuma nimechekwa sana na rafiki zangu. Na nilikuwa bonge la nice man. Nilikuwa napenda kweli. Nishawahi uguza mdada watu wiki mbili, nalisha, ogesha, valisha gharama zote juu yangu. Ila sasa nilichoambulia ni hatari.Mimi bado moyo kuwa mgumu hivyo
Mimi bado moyo kuwa mgumu hivyo
Ndugu kuna muda utaitaji mtu wa kukuamsha usiku uombeMimi kuna kipindi nilikuwa naona dunia haina maana. Nilikuwa sili kabisa. Nashukuru alibadilika soon baada ya mimi kumaliza chuo, haki ningefeli. Sio huyo tu, hapo nyuma nimechekwa sana na rafiki zangu. Na nilikuwa bonge la nice man. Nilikuwa napenda kweli. Nishawahi uguza mdada watu wiki mbili, nalisha, ogesha, valisha gharama zote juu yangu. Ila sasa nilichoambulia ni hatari.
Baada ya yote hayo, nikaamua kuufundisha moyo na kuuongoza moyo. Mpaka ninapozungumza sina tena kitu kinaitwa kufall. Akitokea mrembo tunamalizana ila moyo wangu haupo uko. Now napenda zangu juisi ya miwa. Na niko na amani. Hata wadada wakijilengesha doesn't matter.
Jitrain ndugu yangu inawezekana
SureNdugu Id fake nani ananijua humu.. Hakuna mwenye namba yangu humu halafu najisikia vizuri after Hii confession… ningewaambia wanaonijua wangeyazagaza
Mi nshajiharibu kisaikolojia. Na sitaki kupona.Ndugu kuna muda utaitaji mtu wa kukuamsha usiku uombe
Sawa mkuuMi nshajiharibu kisaikolojia. Na sitaki kupona.
Hahahaaaa jf rahaMi nshajiharibu kisaikolojia. Na sitaki kupona.
😁😁😁😁😁😁Kirahisi rahisi tu 😹😹
Na mimi nakwambia hivi, “Tumia ulichonacho upate ukitakacho” kila mtu alinde urithi wake km Mbowe na kikoba chake 🤣
Hio ndio Mixx by Yas sasaKirahisi rahisi tu 😹😹
Na mimi nakwambia hivi, “Tumia ulichonacho upate ukitakacho” kila mtu alinde urithi wake km Mbowe na kikoba chake 🤣
Hii imeendaaNipo single, nakupenda dear 😍🥰
Njoo PM tuyajenge achana na huyo chekibobu
KiringiNdio
nini
😂😂🙌🏻 sijakataa ndio hata tukiwasiliana mazungumzo ni hayohayo daah tutafika hoiNyuzi za hivi zinakimbia kweli kweli ona uzi wa leo lakini una page 12🤣🤣
Anyway ngoja na mimi nichangie hivi kwani mahusiano yanatakiwa mkionana muongee nini? Hapo mkikutana ni mizagamuano tu story utapiga na kaka zako.