Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Sawa anawaza kuwa na mwanamke wa aina gani nijue itanisaidia mbeleni
 
Hhhhhh, Kama mkiwa wote Mnapiga story vizuri tu basi huyo Hana shida. Tambua kwamba watu hatuwezi kufanana, kwahiyo nyie nendeni taratibu usiwe na haraka Sana kila kitu kitakaa sawaa. Kila la kheri wadogo zangu.
 
Unanitia moyo sio anyway ngoja nichoropoke hapo
 
Njooo P.M mamaaa 24 tunaweza fanya jambo la maana
 
Wanaume siku hizi hawana so called emotional intimacy ila wana physical intimacy......... Usipate taabu sana jifunze formula inaitwa No strings attached,huyo mwamba ndio anataka iwe hivyo,sema tu wewe umekua mgumu kuelewa
 
Mume wa mtu
 
Tangazo limekaa utamu😂
 
Yeah Ngoja aendelee kuwepo akipatikana anaeleweka vizuri nitamuacha
Kama vipi jitahidi umbadilishe,yaani jichangamshe kwake,piga Naye stori,mwambie mtoke out bila ya kudu,utamuona Kama anapenda kuambatana na wewe ,yaani mfanyie Kama mwezi ivi. Smt unamwambia usiku unataka kupiga Naye stori umsikie ,Ila Kama hajisikii siye yeye ni asili yake tu imekukataa. Mie ninaye nayempenda sema kumpata k yake inabidi natumia gharama kubwa najiona.kama hapa sipendwi Mana yeye hata kunicheki akumbushie kulana ni mie tu.
Maisha haya yaache to
 
Ndio mtu asipokupenda anakuwa mgumu kuwasiliana na wewe
 
Wanaume siku hizi hawana so called emotional intimacy ila wana physical intimacy......... Usipate taabu sana jifunze formula inaitwa No strings attached,huyo mwamba ndio anataka iwe hivyo,sema tu wewe umekua mgumu kuelewa
Sawa ngoja niende nae anavyotaka huku nikitafuta mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…