Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Sawa ngoja niende nae anavyotaka huku nikitafuta mwingine
Ukitafuta wewe ndio utapotea kabisa....... Kaa kwa kutulia kwanza,make inaonekana unaongozwa na hisia zaidi kuliko utashi,but Remember
Woman are like Milk and Mens are like wine,ukishindwa kuelewa maana ake utanambia.......... Unajua buana mie hushindwa kuwaelewa wanawake,ushajua kua wewe ni fvckmate tu nawe unahitaji mapenzi,Why are you still there na kuja huku kutafutq ushauri? Hebu grow up and stop this infantism
 
Huwa mnajipa stress za Bure nyie mabinti!!

Fanya mapenzi Kwa kupata Raha na sio attention plus kutaka uwekezaji was muda mrefu!!

Ukipata anaetaka kukuoa ndio unakata wire ghafula kama bado we furahia like unachopata!!

Unataka akupe Hela za Nini kama unazo!!?mboo pekee ndio huna kwanini usipokee !!?

Unataka attention ya nini kama Jamaal Huwa anaimis tam yako that means ameshindwa ku move on kwako na hajapata mbadala!!

Uwe unaringa mara Moja moja kama vipi kama unahisi hupendwi!

Halafu thamani yako haifanani na fedha Wala chochote kile kwanini Huwa mnajiona wenye thamani Hadi pale mnapo pewa pesa kwani nyie ni bidhaa !!?

Furahia mapenzi,akiona unafaa atakuaoa utakaempata anataka kukuoa ndio utakatisha mahusiano ghafula!!
 
Sawa anawaza kuwa na mwanamke wa aina gani nijue itanisaidia mbeleni
Haitakusaidia chochote maana, Huwezi kuwa huyo mwanamke kwake, ameshakuchulia tofauti kabisa na haiwezekani kubadilisha.
Hata akibadili gia angani, mahusiano yenu yatakuwa machungu kwako kuliko sasahivi, maana hatajali hisia zako. Kama huamini we endelea kujitahidi
 
Mpaka unaandika huu uzi ina maana umeishajitambua. Hakupendi shauri zako.
 
Dah! Umemuumbua! Ndio maana nikamshauri aje inbox tu...anadanganya danganya tu huyu
 
Mmh balaa zito
 
Hiii naenda nayo ni ghafula tu
 
Sawa nitazuga nae tu
 
Ni kweli…. Kabisaa na sasa ameanza kuning’aniza tuishi pamoja nimemwambia haiwezekani mpk tuoane anasema tutapanga mbeleni lakini kwa namna alivyo sioni muoaji kabisa
upendo ni matendo na sio maneno, zingatia sana hilo.
 
Eeh bwana nimetafakari kwa kina haya malalamiko yako, inaonesha jamaa ni highclass kuliko wewe mnawaitaga ma HB ndio maana anakufanya sex toy. Na wewe unajijua hulipi ukiachana nae utakaa single mda mrefu na upwiru hivyo badala ya kulalamika we endelea kufurahia huduma ya mkuyenge wa take-away.

Siri ni kwamba wewe ni mmbovu ama huna mvuto wa kike ila umejaliwa mbunye amazing hivyo mwamba anakuita kila akiukumbuka utamu wa K yako. Haya mambo yanatokeaga kwa mabaharia unakuta demu haeleweki ila ana mbususu mnato. Hilo ndo tatizo wala usitafute mganga.
 
Huyo mwanaume anahudhuria vikao vyetu ipasavyo. Kipochi manyoya kinaliwa bure.
 
Muongee manini tena zaidi ya ngono zembe inayowaunganisha?

Mahawara mtakaa mtajadili maisha kivipi, mmekuwa ni wanandoa, au mmepanga kuoana lakini haujasema?

Halafu umezungusha mada, baadaye ukaja kujianika rangi yako halisi ya ngozi ulivyo mrahisi na mpenda pesa.

Jitafakari sana, kama unataka kuolewa jitulize utapata mchumba.

Wanaume wanapenda wanawake 'wagumu' na siyo 'maharage ya mbeya' na hicho ndicho kipimo cha 'kujituliza'.
 
Kama
Una kazi pesa yake si yako.

Mahusiano yana miezi minne na mmekutana x2. Maana yake kwa mujibu wa uzi wako, amekupigia simu sio zaidi ya x4 (mbili kuomba sex, mbili kuongea blabla)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…