Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Mkisha kua akili zitawakaa saws....
 
Maybe help me to understand, kwani zaidi ya sex ulitaka muongee nini kingine mkuu?
 
Ukipona fangasi za yule muhaya nambie
Unaonekana cheap, unajidhalilisha hujui tu
Huwezi kuwa cheap kwa kila mtu ujue tu.. mwanamke unaemuona cheap kwako wengine wanamtaka hata kinguvu kuwa nae na hawampati kwasababu amekuheshimu wewe halafu wewe unamuona cheap

Halafu wanaume huwa wanaga umbea
 
Ushasema unasukia raha na unapenda na kumiss kuingiliwa naye. Unachotakiwa kufanya ni usisubiri kupigiwa, piga wewe mpaka akupe mimba uzae umuite mbwa.
Duh!...
 
Reactions: Tsh
😂😂 wewe jamaa kwaiyo mimi mbovu sina mvuto wa kike we jamaa daah Mungu anakuona
Sio hata high classic Msukuma mmoja mshamba tu… labda tu niseme ana ka mtu kake seriously halafu ni long distance.. kama kuna ka view once Jamii forum nitag nikutumie pic yangu ni kabaya ila sio kiivo
 
Hapo kwenye kukunwa vizuri ndo main point...wanawake huwa wanapata tabu sana kuacha mahusiano na mwanaume wa hivyo..
 
Hapo kwenye kukunwa vizuri ndo main point...wanawake huwa wanapata tabu sana kuacha mahusiano na mwanaume wa hivyo..
Body count ndio hua tunazingatia maswala ya kunikuna vizuri mimi sijui naona normal tu
 
Mbona hamueleweki.. mkizungushwa kupewa sex mnasema tukuwapa mnakula na kusepa tukiwapa mapema napo maharage ya mbeya….

Kwaiyo nilipaswa kumnyima sex ama
 
Kama

Una kazi pesa yake si yako.

Mahusiano yana miezi minne na mmekutana x2. Maana yake kwa mujibu wa uzi wako, amekupigia simu sio zaidi ya x4 (mbili kuomba sex, mbili kuongea blabla)
Haaha tunaongea bhn… sema ndio ile mnakaa siku 3 ndio mnawasiliana..
Ila sasa mimi kuna ile nimezoea mwanaume anitafute mimi sio mimi nimtafute so tunajikuta wote tupo kimya…
Namaanisha hakuna story za maana tunaongea zaidi ya ngono… sijui labda kwasababu bado penzi jipya

Hiyo kwangu haina shida nataka tu anijali kama hivyo tumetoka kuonana basi aniulize hata kama nimefika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…