Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Maybe help me to understand, kwani zaidi ya sex ulitaka muongee nini kingine mkuu?
Jamani hakuna story nyingine kwani zaidi ya hizo sex… basi hana story ndio nikitoka kwake asiniulize hata kama umefika salama

Jamani kuna ile kuzugazuga hata story za uongo na kweli
 
Eti mara nyingi mala 2 sex kwa miezi 4 ndio nyingi jamani?
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Ndiyo shida ya mwanaume akishajua kuwa kwake huruki... anakuwa na ukatili uliojaa upumbavu juu yake..
Just move on cute... inawezekana mbona
 
Wewe jamaa kila nikisoma hapa najikuta nacheka et umetafakari ukaona nini🤣🤣🤣🤣
kwaiyo mimi silipi nitakaa single muda mrefu weeeeeeeeeeeee😆😆😆
Kumbe wanaume tukiwaganda mnaonaga sisi tumedoda my friend mimi sio mbaya kiasi hicho kabisa ni vile tu nina upendo wa dhati halafu nakutana na bad boys and najisikia vibaya kuwa na body count kubwa

Na huyu kijana kwenye kundi la handsome tumtoe kabisa ni kijana wa kawaida sana na sio huyo unaemuwaza wewe

Labda tu hanipendi au kuna vigezo vyake anavyotaka sina au pia ana commitment na mwanamke mwinginee but sio kwamba mimi ni kabaya jamani
 
Mahusiano yana miezi minne na mmekutana kimwili x2-3, sio sawa aisee.
 
Jamani hakuna story nyingine kwani zaidi ya hizo sex… basi hana story ndio nikitoka kwake asiniulize hata kama umefika salama

Jamani kuna ile kuzugazuga hata story za uongo na kweli
Pesa huwa anakupa?
 
Miaka 24 mapema sana kujipeleka peleka kbisa nyege utachakaa mapema .. hio kitu unafanya wacha ifanywe na watu waliodata na stress za ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…