Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Bora ufungue account Tinder tu!
 
Pole mdogo wangu
 
Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia
Wewe hujarogwa, shida yako paipu size imekukonfyuzi ukikompea na R.I.P ex, by the way apedomia is seriously problem.
 
Ni tabia mbaya.. unaonesha kutokujali kama mtu atapata tatizo njiani huna taarifa si vyema
Shida hio wanayo wanawake wengi ya kupenda wanapovurugwa akili. Yani mwanamke ukimuonesha kutokujali ndio hafikirii hata kwenda popote zaidi ya kunung'unika tu 🤣
 
wavulana wabaya(bad boys) wanazidi kuchukua marks;

1. hawajali
2. hawajipelekeshi
3. hawaambiliki.

sijui ni kwanini wanawake wanavutiwa na wanaume wasiowajali, nilijua hizi stori ni za uongo lakini siku hizi naona wanawake wanakiri wenyewe kabisa, kumbe kuna ukweli

na mimi nafikiria kujiuga na hicho chama
 
unaonekana ni binti uliyetulia sana , mwenye maono na ndoto kubwa, kaza moyo kubali ukweli achana naye, anza upya, ,mtangulize Mungu, epuka sex kabla ya ndoa hilo ni shimo, karibu pm tuzungumze
Sex kabla ya ndoa kwa wanaume hawa labda kama ni mchungaji au ana matatizo ya huko chini
 
M
Mnatutesaa
 
Mamaaa hii ya kuuliza kama umefika baada ya sex na mimi pia inaweza katika hata siku mbili. Sijui ni pepo sijui nini najiona tu sina cha kuongea na wewe sina jambo kabisa aisee. Mtu samehe kwa hili. Nazani nikioa itakuwa poa sana
 
A
Asante nimechukua hiyo
 
Mamaaa hii ya kuuliza kama umefika baada ya sex na mimi pia inaweza katika hata siku mbili. Sijui ni pepo sijui nini najiona tu sina cha kuongea na wewe sina jambo kabisa aisee. Mtu samehe kwa hili. Nazani nikioa itakuwa poa sana
Hivi kweli kwanini uwe hivyo ina maana hujali ila tukisema tupo njiani tunakuja kila saa sms ya umefika wapi sijui chukua bolt fasta daladala utachelewa ila tukiondoka hata kuuliza kama tuligombezwa nyumbani Hakuna hii sio nzuri
 
Unaishi mkoa upi kwanza?
 
Huyo achana nae anakuja kwa sababu ya upwiru lakini na wewe kama huna sehemu ya kutolea upwiru usimuache maana usifanye masihara na upwiru huyo anakuchukulia poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…