Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Ningekuwa sienjoy sidhani kama ningekuwa naenda akinihitaji
 
Tena sio mpk aniambie kanimiss wakati mwingine huwa namwambia mimi nimemiss ana arrange time tunaonana
 
Kwa hiyo kumbe huwa unatumia mtaji kupata faida safi sana Sasa utaachaje kwenda na unajua ukiondoka uhakika,
Nikwambie tu anakuona kama unamuuzia kei! Akikupa hela kataa mwambie hujiuzi!
Faida gani ndugu.. siwezi kukataa hela maana najua sina hiyo hela kwaiyo nikikataa kwetu nitarudi vipi kwa miguu ama.. wakati
Mwinginee nakuwa sina hela ya nauli anataka tuonane then nakopa mahali ili nikaonane nae sasa yeye akinipa kuna ubaya gani… na sio mara zote hunipa wakati mwinginee hanipi
 
Muite sehemu mkae muongee. Naona hajawahi kuongea haya mambo. Siku akikuita kabla hamjakulana mjadili haya mambo yenu.
 
Muite sehemu mkae muongee. Naona hajawahi kuongea haya mambo. Siku akikuita kabla hamjakulana mjadili haya mambo yenu.
Nahisi katika kitu ambacho siwezi ni kuongea kwa kumface mtu nipo vizuri kwenye keyboards… na nikianza kuongea huwa ninalia so nimeshindwa hiyo,, nilishawahi kumuuliza kwa njia ya sms akasema ni ubize but Hakuna ubize wala nini ni labda hajanielewa tu na ana mahusiano yake seriously yupo kwangu kujipoza tu
 
usijali, huyu nae atafariki
 
Naona wanaume hapa wanakuzingua tu kwenye majibu ila ukweli ni kwamba huyo sio mpenz ni player tu na atakua na mtu wake. Hana malengo yeyote na wewe ukibeba mimba inakula kwao. ACHANA NAE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…