Anaomba nimsaidie pesa, sitampa maana kipindi cha mahusiano yetu hakuwahi kunipa penzi

Mtumie na kutolea...
Sasa bwana Jana ameniambia yupo Mwanza alienda kwenye kumuuguza mama yake, na bahati mbaya amekufa. Kwahiyo pamoja na mambo mengine anaomba nimsaidie elfu Themanini aongezee nauli, na mahitaji mengine.
 
Dah, halafu nahisi wanakuwaga na dawa,maana akikuomba pesa unampa,lakini penzi unazungushwa, halafu unakuta unaechunwa ivyo ni bonge la mjanja,
Ila kingine ukiwa na pesa huwa unachukulia easy tu,unamuona ni mwanamke tu mwenye njaa
 
Pole sana, mwanaume kulalamika kwenye mambo hayo ni aibu sana...
mkuu yamenifika pabaya, ila Ni Bora anaelalamika, kuliko yule ambae anafikia kuchukua hatua mbaya dhidi ya Hawa wachunaji pesa😎😎
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
F.uck mwandiko gani huu?
 
Amefiwa na still huna huruma? Eti kwa kuwa alikunyima Puna! Umaskini tu.
Mpe hela K yake acha awe nayo.
Leta namba tumrushie hela atoke kwenye shida.
 
We hapo ushalegea, na Sasa Hivi ukimwomba atakupa na Hutokataa na Utatoa pesa zaidi ya Hiyo na Utakuwa Danga Lake may be la kumi na Mbili ili Huduma Azipate Vizuri

Wanawake huwa wanajua Akili za Wanaume sana
 
Mkuu! "What goes around comes around" Nawe mjibu vile vile kama alivyokua anakujibu wakati ule. Mwambie "subiri subiri! Naogopaa naogopa" mwisho wa siku mpotezee kama alivyokupotezea wewe. Malipo ni hapa hapa kwa hii dunia.
 
Ulivyosema katoka kumzika mama yake imenigusa sana..mkuu kama huwezi msaidia chochote nitumie namba yake DM nimpe japo kidogo.
 
Kwahii stori mimi naona "boya" ni wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…