Cecil J
JF-Expert Member
- Oct 12, 2023
- 434
- 1,024
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana shida sana hao jamaa wa coinsCoins😂😂
Na mpaka mtu apewe apple ni unatoboka balaa! Kijana awe mvumilivu maana hakuna 🍎 ya bure🤣🤣Shida ni kwamba inawezekana jamaa naye ndani ya muda huo mfupi tayari kaanza kumuomba Happy kitu yake..
Mdada naye akaona mambo yasiwe mengi...Utakula unapopeleka mboga😃
Mkuu,mkuu kwanini umeni- mention na sioni uliponimensheni ila notification nimepata kuna nini kinaendelea..?
Unajieleza sana aisee, ilitakiwa ulivyoomba usingejibu, au kama ungemjibu kuwa atumie zake za kwako ni za mashetani au ni mbovuHuyu demu nimemtongoza hata wiki mbili hakuna tayari matatizo Yake yote ya kifedha amenipa Mimi Leo hili Kesho kile Sasa nimechoka nimeona nimuambie ukweli
View attachment 3183864
Unawatafuta ubaya wewe na Christmas hii😅anavyopenda hela kama sio kimaro ni mlay🤣
Ndiyo manake🤣Na mpaka mtu apewe apple ni unatoboka balaa! Kijana awe mvumilivu maana hakuna 🍎 ya bure🤣🤣
ikibidi...😂Mkuu,
Mbona umejibu kwa hasira, unataka kunipiga?
Inatakiwa wakae muda gani kabla ya kuanza kuombana?Shida ni kwamba inawezekana jamaa naye ndani ya muda huo mfupi tayari kaanza kumuomba Happy kitu yake..
Mdada naye akaona mambo yasiwe mengi...Utakula unapopeleka mboga😃
Hua wanasema "acha longo longo we sema una shi ngapi" 🤣🤣🤣Itoshe kusema Happy ni mjasiriamali😁😁
Hapa ndio pale unakuta unasema mimi siwezi kutembea na mwanamke anayejiuza,halafu huku unaingia kwenye mtego mwingine,nikupe ngapi kila tukikutana,solution ni kuacha zinaa tu...Inatakiwa wakae muda gani kabla ya kuanza kuombana?
Mimi nadhani inatakwa watu wawekanne wazi tangu mwanzo, kwamba je, katika mahusiano hayo na atawajibika kuto nini. Au jamaa angemuuliza "Je kila nikiwa nakuhitaji niwe nakutengea ngapi", ila hapo kati kusiwe na kusumbuana habati za hela
Umeandika kitu kikubwa sana ambacho wengi hawataelewa, vijana wanatakiwa wajue mahusiano siku hizi yamebadilika, kuna ya short term, hook up, long term, serious, one night stand, n.k, kwa hiyo wakitongozana ni wajibu kuwekana wazi ili kusitokee sintofaham na majuto huko mbeleInatakiwa wakae muda gani kabla ya kuanza kuombana?
Mimi nadhani inatakwa watu wawekanne wazi tangu mwanzo, kwamba je, katika mahusiano hayo na atawajibika kuto nini. Au jamaa angemuuliza "Je kila nikiwa nakuhitaji niwe nakutengea ngapi", ila hapo kati kusiwe na kusumbuana habati za hela
Bff wangu mbona sikuoni jamani 😍Hana mda wa kupoteza😂🙌
Nipo Bff unaendeleaje?,Bff wangu mbona sikuoni jamani 😍
Tatizo Wanaume hata awe ameoa hajawahi kuwa na mtuNimeuliza hivi;
Recently ukimfata msichana kumtomgoza atakwambia Nina mtu wangu au nimeolewa...(Ni wengi wa hivi)
Lakini wanaume wengi wanaofata hao wanawake kuwatongoza mara nyingi wanakua wako single
Sasa Hawa wanawake wenye watu wao , hao watu ni akina nani ikiwa wanaume wengi wako singo ?
Here you are speaking...lakini uko sure wanawake wote Wana watu wao? Na mbona ukiwataka wanasema Nina mtu?Tatizo Wanaume hata awe ameoa hajawahi kuwa na mtu