Anaomba Sana Hela, sasa Leo nimemchana

Anaomba Sana Hela, sasa Leo nimemchana

Wanawake wengi ukiwafata kuwatongoza wanasema Wana watuwao ....
Wanaume wengi Cha ajabu wako single
Hao watu wa wanawake ni akina nani ?
Hilo jibu la nina mtu wangu siku hizi sikutani nalo sana, siku hizi nakutana na jibu la "niko busy" ndimbwa
 
Mwamba (mtoa mada) amefeli jambo moja tu, kama mwanamke anakuomba hela na unaona hakuna haja ya kumpa unapiga kimya na si kuandika paragraph ndefu.

Umejua mwanamke anauza ukienda kubali kununua hata kwa bargain, ukishindwa ondoka ki-jentromenišŸ˜‚šŸ˜‚
Hapa ndo mnapokosea, na ndo maana hawakomi kuomba pesa maana mnaondoka ki jentromen
Ukiondoka kwa malaya kama hao lazima uache footprints, ili nayeye ajue. Kuwa. Alizingua
Ndani ya wiki mbili mwamba kala mzigo mara 17 sms ndefu ya shombo lazima ihusike
 
Back
Top Bottom