Anaomba Sana Hela, sasa Leo nimemchana

Shida ni kwamba inawezekana jamaa naye ndani ya muda huo mfupi tayari kaanza kumuomba Happy kitu yake..

Mdada naye akaona mambo yasiwe mengi...Utakula unapopeleka mboga😃
Na mpaka mtu apewe apple ni unatoboka balaa! Kijana awe mvumilivu maana hakuna 🍎 ya bure🤣🤣
 
mkuu kwanini umeni- mention na sioni uliponimensheni ila notification nimepata kuna nini kinaendelea..?
Mkuu,
Mbona umejibu kwa hasira, unataka kunipiga?
 
Huyu demu nimemtongoza hata wiki mbili hakuna tayari matatizo Yake yote ya kifedha amenipa Mimi Leo hili Kesho kile Sasa nimechoka nimeona nimuambie ukweli

View attachment 3183864
Unajieleza sana aisee, ilitakiwa ulivyoomba usingejibu, au kama ungemjibu kuwa atumie zake za kwako ni za mashetani au ni mbovu
 
Shida ni kwamba inawezekana jamaa naye ndani ya muda huo mfupi tayari kaanza kumuomba Happy kitu yake..

Mdada naye akaona mambo yasiwe mengi...Utakula unapopeleka mboga😃
Inatakiwa wakae muda gani kabla ya kuanza kuombana?
Mimi nadhani inatakwa watu wawekane wazi tangu mwanzo, kwamba je, katika mahusiano hayo nani atawajibika kutoa nini. Au jamaa angemuuliza "Je kila nikiwa nakuhitaji niwe nakutengea ngapi", ila hapo kati kusiwe na kusumbuana habati za hela
 
Hapa ndio pale unakuta unasema mimi siwezi kutembea na mwanamke anayejiuza,halafu huku unaingia kwenye mtego mwingine,nikupe ngapi kila tukikutana,solution ni kuacha zinaa tu...
 
Umeandika kitu kikubwa sana ambacho wengi hawataelewa, vijana wanatakiwa wajue mahusiano siku hizi yamebadilika, kuna ya short term, hook up, long term, serious, one night stand, n.k, kwa hiyo wakitongozana ni wajibu kuwekana wazi ili kusitokee sintofaham na majuto huko mbele
 
Tatizo Wanaume hata awe ameoa hajawahi kuwa na mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…