Anaomba Ushauri: Alisalitiwa na mume wake wakaachana, Mume akaoa na akapata Pesa. Maisha yamekuwa magumu anataka kuwa Mchepuko

Mpe ujumbe wake
 

Attachments

  • Screenshot_20240411_085659_Facebook.jpg
    29.1 KB · Views: 6
Na wanaume wasio na kazi waolewe? Hilo hunijibu
hayo ni mawazo yako mimi sikubaliani na vitendo vya ushoga. Wewe na mafeminia wenzako ndio mmekua mnaubiri masuala ya kwenda jino kwa jino na mwanaume mnaamini mwanaume hawezi kuwafanya watumwa maana na nyie maisha mnayaweza. Mwenzenu kafanyia kazi mafundisho yenu kwa sasa njaa inampiga msaidieni apate kazi ya kumpa mahitaji yake
 
Kuchepuka ni jambo baya kwa wote huyo anae sema hivyo anakosa sifa ya uanaume. Nakuachia umalizane naye.
Suala sio kuchepuka mzee baba suala ni ile mentality ya wanawake kuamini wanaweza kwenda jino kwa jino na mwanaume katika kila nyanja yaani kosa lolote la mwanaume wao mawazo yao ni kulipiza kisasi au kuachana. Wewe unaweza kuona kuchepuka sio uanamume lakini kuna wanaume waliokuzidi ubora kwenye sifa na bado wanachepuka vile vile wewe unaweza kuwa na sifa nyingine ambazo wanaume wengine wanaona sio uanamume. Mwisho wa siku tunahitimisha kwamba kila mtu ana madhaifu yake kila mtu ana mtazamo wake kwaiyo usiwe na mawazo kwamba madhaifu ya wengine ni makubwa zaidi au mtazamo wako ni sahihi zaidi kiasi cha kuwaondolea sifa ya uanamume ambao wapo tofauti na wewe. Kwa jamii zetu za kiafrika ikijulikana mwanaume anachepuka bado ndoa inawezekana ikawepo ila ikijulikana mwanamke anachepuka ndoa inakufa hapo hapo. Dada etu alijazwa upepo na mafeminia sasa njaa inampiga nimeona uko juu comments za mafeminia waliomjaza upepo wanamchamba kwamba ni muoga, wengine wanauliza kama walivyoachana alikatwa mikono na miguu. Hao ndio mafeminia uchwara wa bongo, wanaishi na trauma za mahusiano yao ya nyuma kwaiyo wanapambana kualibu mahusiano ya wengine ili wapate relief ya moyo(msiba wa wengi sherehe), wanakujaza upepo ukialibikiwa wanaanza kukuchamba
 
Kuchepuka ni jambo baya kwa wote huyo anae sema hivyo anakosa sifa ya uanaume. Nakuachia umalizane naye.
Sasa mkinikuta natukanana nao mnaingiliaga mada wakati hamjui huwa napiganiaga nini alafu na wao wanawatwika chuki ya u feminist juu yetu. Sasa leo ndo mmewaona maneno wanayoongeaga.

Mimi sio mjinga eti niamke tu asubuhi nagombana na watu. Hawasemagi kwanini tunagombana ila sababu ni hiyo..

Alafu sio wewe kutwa unasemaga mimi naongeleaga ukosefu tu. Umeona sasa ujinga wa hao wanaume wanaojisifu uanaume. Nikukumbushe tu usiwe unakuja kuparamia comment zangu ukinikuta napambania hoja huwa sijakurupuka
 
Stupid.
Hoja zote umeishiwa
 
Ni mawazo yake.
Wapo pia wanawake wenye mawazo yafananayo na hayo.
Binafsi sikubaliani nae, ambao wameoa mke alietoka kwenye familia duni, na yeye ndo provider wa hiyo familia ya mkewe kwa almost kila kitu wengi ndo huwa na tabia za ivo.
 
Anaomba ushauri gani sasa, si awe mchepuko tu.
 
Jamani Bora hata huyu dada!
Sisi tupo kwenye kikao Cha familia....bibi yetu kapewa ujauzito na ana wajukuuu wakubwa kuliko ayempa ujauzito!
 

Nakuelewa vizuri sana, ila kule kwenye vuta ni kuvute zetu huwa kuna sehemu unakosea na mimi najaribu kukupa mitazamo mipya.

Hapa huyu mwenzetu ametuangusha sana.
 
Nakuelewa vizuri sana, ila kule kwenye vuta ni kuvute zetu huwa kuna sehemu unakosea na mimi najaribu kukupa mitazamo mipya.

Hapa huyu mwenzetu ametuangusha sana.
Hapana huwa unanilazimisha niongee mazuri tu umasemaga natunga. Unaona sasa wenzenu wanayosema ya kutunga?
 
Aendelee kumpa dudu tu kwani ilikuwa hasira hasara
 
Hapa kweli ni AI ndiyo limetunga stori
 
Hivi kwanini nyinyi wanawake mukidai Taraka mkipewa baadae munataka kurudi muna matatizo gani kwani😠😠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…