mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hayo ni mawazo yako mimi sikubaliani na vitendo vya ushoga. Wewe na mafeminia wenzako ndio mmekua mnaubiri masuala ya kwenda jino kwa jino na mwanaume mnaamini mwanaume hawezi kuwafanya watumwa maana na nyie maisha mnayaweza. Mwenzenu kafanyia kazi mafundisho yenu kwa sasa njaa inampiga msaidieni apate kazi ya kumpa mahitaji yakeNa wanaume wasio na kazi waolewe? Hilo hunijibu
Suala sio kuchepuka mzee baba suala ni ile mentality ya wanawake kuamini wanaweza kwenda jino kwa jino na mwanaume katika kila nyanja yaani kosa lolote la mwanaume wao mawazo yao ni kulipiza kisasi au kuachana. Wewe unaweza kuona kuchepuka sio uanamume lakini kuna wanaume waliokuzidi ubora kwenye sifa na bado wanachepuka vile vile wewe unaweza kuwa na sifa nyingine ambazo wanaume wengine wanaona sio uanamume. Mwisho wa siku tunahitimisha kwamba kila mtu ana madhaifu yake kila mtu ana mtazamo wake kwaiyo usiwe na mawazo kwamba madhaifu ya wengine ni makubwa zaidi au mtazamo wako ni sahihi zaidi kiasi cha kuwaondolea sifa ya uanamume ambao wapo tofauti na wewe. Kwa jamii zetu za kiafrika ikijulikana mwanaume anachepuka bado ndoa inawezekana ikawepo ila ikijulikana mwanamke anachepuka ndoa inakufa hapo hapo. Dada etu alijazwa upepo na mafeminia sasa njaa inampiga nimeona uko juu comments za mafeminia waliomjaza upepo wanamchamba kwamba ni muoga, wengine wanauliza kama walivyoachana alikatwa mikono na miguu. Hao ndio mafeminia uchwara wa bongo, wanaishi na trauma za mahusiano yao ya nyuma kwaiyo wanapambana kualibu mahusiano ya wengine ili wapate relief ya moyo(msiba wa wengi sherehe), wanakujaza upepo ukialibikiwa wanaanza kukuchambaKuchepuka ni jambo baya kwa wote huyo anae sema hivyo anakosa sifa ya uanaume. Nakuachia umalizane naye.
Sasa mkinikuta natukanana nao mnaingiliaga mada wakati hamjui huwa napiganiaga nini alafu na wao wanawatwika chuki ya u feminist juu yetu. Sasa leo ndo mmewaona maneno wanayoongeaga.Kuchepuka ni jambo baya kwa wote huyo anae sema hivyo anakosa sifa ya uanaume. Nakuachia umalizane naye.
Stupid.hayo ni mawazo yako mimi sikubaliani na vitendo vya ushoga. Wewe na mafeminia wenzako ndio mmekua mnaubiri masuala ya kwenda jino kwa jino na mwanaume mnaamini mwanaume hawezi kuwafanya watumwa maana na nyie maisha mnayaweza. Mwenzenu kafanyia kazi mafundisho yenu kwa sasa njaa inampiga msaidieni apate kazi ya kumpa mahitaji yake
Ni mawazo yake.Stupid🚮
Sasa wewe ndo ume justify kwanini huwa nawachamba humu.
Deleted01 Vishu Mtata Kisai
Mnabishaga mnasemaga mimi naongeaga negative tu. Mnaona sasa mawazo ya mwanaume mwenzenu yalivyo ya kipumbavu.
Eti mwanaume hata akichepuka napungukiwa nini. Hivi mnadhanigi wanawake hawana mioyo au. Mngekua mna nguvu za kiume basi za
Kuwaridhisha hao wake zenu na michepuko, mkeo nyumbani hujui kama karidhika au la unaenda kuonesha ulemavu wako mitaani huko zipu hufungi kazi kupandisha gia mbovu.
Wake zenu wana wastahi sana na vilema vyenu tungesema hapa wanaume wasimame basi nyie mnaombwata mngejificha
Anaomba ushauri gani sasa, si awe mchepuko tu.Habari wana Jukwaa,
Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa yetu. Kwa kweli, nilijaribu kuvumilia hali hiyo, lakini mwisho wa siku, niliamua haiwezekani tena na tukatengana.
Niliondoka na watoto wetu, na nikaendelea na maisha yangu. Lakini, tangu nilipoondoka, mambo yamekuwa magumu sana kwangu. Hata hivyo, nimekuwa nikifuatilia maisha ya mume wangu wa zamani na kugundua kwamba anaishi vizuri sana. Alioa tena na sasa ana mtoto mwingine.
Jambo hili linaniumiza sana. Mara kwa mara najikuta nikijiuliza kama niliamua vizuri kuachana naye. Pengine kama ningevumilia, angebadilika na tungeweza kuwa na familia yenye furaha. Kwa upande mwingine, sitaki kurudisha watoto wangu ili walelewe na mama mwingine. Ni jambo gumu sana kwangu kuelewa kama nilifanya uamuzi sahihi au la. Imefika hatua natamani hata kuwa mchepuko kwa mume wangu ili maisha yaende.
Naomba ushauri wenu wana Jukwaa. Asanteni.
Sasa mkinikuta natukanana nao mnaingiliaga mada wakati hamjui huwa napiganiaga nini alafu na wao wanawatwika chuki ya u feminist juu yetu. Sasa leo ndo mmewaona maneno wanayoongeaga.
Mimi sio mjinga eti niamke tu asubuhi nagombana na watu. Hawasemagi kwanini tunagombana ila sababu ni hiyo..
Alafu sio wewe kutwa unasemaga mimi naongeleaga ukosefu tu. Umeona sasa ujinga wa hao wanaume wanaojisifu uanaume. Nikukumbushe tu usiwe unakuja kuparamia comment zangu ukinikuta napambania hoja huwa sijakurupuka
Hapana huwa unanilazimisha niongee mazuri tu umasemaga natunga. Unaona sasa wenzenu wanayosema ya kutunga?Nakuelewa vizuri sana, ila kule kwenye vuta ni kuvute zetu huwa kuna sehemu unakosea na mimi najaribu kukupa mitazamo mipya.
Hapa huyu mwenzetu ametuangusha sana.
Aendelee kumpa dudu tu kwani ilikuwa hasira hasaraHabari wana Jukwaa,
Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa yetu. Kwa kweli, nilijaribu kuvumilia hali hiyo, lakini mwisho wa siku, niliamua haiwezekani tena na tukatengana.
Niliondoka na watoto wetu, na nikaendelea na maisha yangu. Lakini, tangu nilipoondoka, mambo yamekuwa magumu sana kwangu. Hata hivyo, nimekuwa nikifuatilia maisha ya mume wangu wa zamani na kugundua kwamba anaishi vizuri sana. Alioa tena na sasa ana mtoto mwingine.
Jambo hili linaniumiza sana. Mara kwa mara najikuta nikijiuliza kama niliamua vizuri kuachana naye. Pengine kama ningevumilia, angebadilika na tungeweza kuwa na familia yenye furaha. Kwa upande mwingine, sitaki kurudisha watoto wangu ili walelewe na mama mwingine. Ni jambo gumu sana kwangu kuelewa kama nilifanya uamuzi sahihi au la. Imefika hatua natamani hata kuwa mchepuko kwa mume wangu ili maisha yaende.
Naomba ushauri wenu wana Jukwaa. Asanteni.
Soma hapa tenaAiseeeee unataka uwe mcheopuko WA mme wako ...try this tuone.... Bora ukaze na maisha yako kuliko kuwa side chick Kwa mtalaka wako