Habari wana nzengo, natumaini wote mko vizuri.
Ninaye mwanangu mmoja anaomba ushauri kila akikutana na mkewe anachoka kupita kiasi kulinganisha na akikutana kimwili na mwanamke mwingine.
Anasema hii changamoto imekuwepo kwa miaka 10 sasa toka waoane. Mwanzoni alikuwa anafikiri labda changamoto itaisha baada ya muda mfupi, lakini cha ajabu inaongezeka kadri muda unavyoendelea.
Anaomba ushauri shida yaweza kuwa ni nini?
Je, inaweza kuwa nyota zao haziendani?
Naomba kuwasilisha..