Huyo "mwanao" ni wewe mwenyeweHabari wana nzengo, natumaini wote mko vizuri.
Ninaye mwanangu mmoja anaomba ushauri kila akikutana na mkewe anachoka kupita kiasi kulinganisha na akikutana kimwili na mwanamke mwingine.
Anasema hii changamoto imekuwepo kwa miaka 10 sasa toka waoane. Mwanzoni alikuwa anafikiri labda changamoto itaisha baada ya muda mfupi, lakini cha ajabu inaongezeka kadri muda unavyoendelea.
Anaomba ushauri shida yaweza kuwa ni nini?
Je, inaweza kuwa nyota zao haziendani?
Naomba kuwasilisha..
Jibu sahihi: kamkinai mkewe ni hali ya kawaida katika ndoa nyingi zenye zaidi ya mika mi 5+ ingawa kuna wakati inaweza kuwa chini ya hapo kutegemeana na aina ya wanandoaHabari wana nzengo, natumaini wote mko vizuri.
Ninaye mwanangu mmoja anaomba ushauri kila akikutana na mkewe anachoka kupita kiasi kulinganisha na akikutana kimwili na mwanamke mwingine.
Anasema hii changamoto imekuwepo kwa miaka 10 sasa toka waoane. Mwanzoni alikuwa anafikiri labda changamoto itaisha baada ya muda mfupi, lakini cha ajabu inaongezeka kadri muda unavyoendelea.
Anaomba ushauri shida yaweza kuwa ni nini?
Je, inaweza kuwa nyota zao haziendani?
Naomba kuwasilisha..
TrueJibu sahihi: kamkinai mkewe ni hali ya kawaida katika ndoa nyingi zenye zaidi ya mika mi 5+ ingawa kuna wakati inaweza kuwa chini ya hapo kutegemeana na aina ya wanandoa
TrueWee sema umemchoka huyo mwanamke hakuna cha nini wala nini. Hiyo ni hali ya kawaida ukishaishi na mwanamke miaka mingi hata kusimamisha tu inakua kazi sembuse kuchoka?
Swali ni je, huwa unakutana na mke wako mara baada ya kutoka kwa mchepuko au? Kama ni ndiyo, jitahidi siku zingine uanzie kwa mkeo then umalizie na mchepuko.
Hapo ni hali ya kuzoeana kati yako na mkeo…. Kila mtu kwenye ndoa inamkuta hiyo hali.Habari wana nzengo, natumaini wote mko vizuri.
Ninaye mwanangu mmoja anaomba ushauri kila akikutana na mkewe anachoka kupita kiasi kulinganisha na akikutana kimwili na mwanamke mwingine.
Anasema hii changamoto imekuwepo kwa miaka 10 sasa toka waoane. Mwanzoni alikuwa anafikiri labda changamoto itaisha baada ya muda mfupi, lakini cha ajabu inaongezeka kadri muda unavyoendelea.
Anaomba ushauri shida yaweza kuwa ni nini?
Je, inaweza kuwa nyota zao haziendani?
Naomba kuwasilisha..
Looh🤒
Its a normal thing..relaxHabari wana nzengo, natumaini wote mko vizuri.