Anaomba ushauri kila akifanya tendo la ndoa na mke wake, anachoka sana tofauti na "akichepuka"

Kama kakuchoka hata ufanye nini ! Wewe fanya tu uwe unafurahisha moyo wàkó,lakini kusema ili mme asikuchoke Hilo futa kabisa kichwani
 
Kama kakuchoka hata ufanye nini ! Wewe fanya tu uwe unafurahisha moyo wàkó,lakini kusema ili mme asikuchoke Hilo futa kabisa kichwani
Viumbe wa ajabu sanaa wamejaa uongo hadi kwenye meno
 
Abadili mind set yake.Kwa mke anaona ni biashara kama kawaida yaani Business as usual ( atapata wakati wowote), wakati kwa mchepuko ni commercial sex, unalipa kabla ya kutumia in terms ya fare, vinywaji na chakula na unalipa baada ya kutumia bidhaa yenyewe. Hivyo ni lazima mchepuko utumike ipasavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…