Anaomba ushauri, tabia za mumewe zinamchanganya

Mkiambiwa oleweni na marafiki zenu mnakaza shingo, marry your friend maana kwenye ndoa kunyanduana ni kasehem tu, lazma muwe na kitu zaidi kunyanduana kinachowakutanisha
 
Mdada atakiwa ajue yeye ni msaidizi, kwa hio mpaka hapo ameshidwa kutimiza jukumu lake anataka afanye majukumu ya kupanga badala ya kuuliza tufanye nini ili achangie kama msaidizi, lazima ajue vision ya Mume ni nini na je iko sawa? kama haiko sawa asaidie kuirekebisha na Kuwa sehemu ya vision hio, lazima ajue maisha yatakuwaje baada ya miaka 50,60,70, 100. kama asipobadilika ataanzisha ugomvi.
 
Haipendezi mkuu inatakiwa iwe automatically kufanya mambo na kupangilia pamoja kumbuka unavyomwambia ni kama kumlazimishia Fulani huyo Dada inakuwa kama kuforce mapenzi.....ndoa zina changamoto sana SAA nyingine Basi tu.
 
Mkiambiwa oleweni na marafiki zenu mnakaza shingo, marry your friend maana kwenye ndoa kunyanduana ni kasehem tu, lazma muwe na kitu zaidi kunyanduana kinachowakutanisha
Hii pia hua inaweza kusababishwa na wanandoa kupishana sana umri. Unakuta mume ana miaka 45 mke ana 21, saa nyingine mume anaona kama hana cha kuongea na mkewe.
 
Ushauri mzuri sana huu, mwambie afuate huu ushauri ni kiasi cha yeye kujiongeza tu.
 

Acha kuzusha, hawawezi kuishi wote miaka 100 sema kama ni mingi 70 tu.

Nadhani huifahamu hata ile methali inayosema siku za mwizi ni arobaini.
 
Nadhani huifahamu hata ile methali inayosema siku za mwizi ni arobaini.
Hukuelewa somo hususan ni mahesabu. Sasa ana miaka 30. Ukiongeza 100 anayosema atakuwa na miaka 130. Si rahisi kwa mwanaume kuishi miaka 130. Nasema kuwa kama ni mingi ni 70+30=100.

Alisema '.....ajiandae kuishi nae kwa miaka 100 ijayo ....'
 
Duh! Ongea naye kwa kituo ikishindikana washirikishe wazazi wa pande zote mbili ili wawasaidie.
Wazazi wanahusikaje Hapo.... Yaani awe na mimba awe msumbufu halafu aweke masharti ya kugegedwa halafu awe mchafu hamu itatoka wapi..

Wanawake siyo Kila ya tamthilia Ni practical...
 
Dada yangu na shemeji yangu najua hii story inakuhusu Wewe na naomba unijibu kwa staha siyo Kama ulivyomjibu Mdau mmoja hapo juuu....

Kabla ya Ndoa mlikaa kwenye urafiki kwa Muda Gani?

Nani Kati yenu aliyelazimisha kuoanana? Je Ni baada ya kumtegesha mimba au ulikuwa Ni mpango wenu wa Muda mrefu?

Je, Mahusiano yenu Ni ya Kwenu wenyewe au kuna mahala unayaiga yafanane na ya mahala fulani?

Kipi unachokipenda Kwako kwenye Ndoa yako kufanya mapenzi, au kuongelea maendeleo, au kuongelea ya kazini?

Je, mnafanya kazi sehemu Moja Njia Moja au mnatumia usafiri mmoja? Ni Nani Kati yenu anawahi kufika nyumbani? Je Kuna Mahala brother alishawahi kulalamikia badiriko lolote baada ya Ndoa yenu?

Nani ni Rafiki yako Mkubwa baada ya Ndoa mama yako?mashost wako ambao hawajaolewa?au Mume wako?Mara Ngapi mnaongea?

Hii Hali imeanza muda gani baada ya kufunga Ndoa au Wewe kuwa mjamzito..?

Ungekuja kwenye dawati langu la ushauri jibu langu lingekuwa Moja tu...

Ukishakuwa na Ndoa yako achana na Ndugu zako,marafiki zako wafanyakazi wako na acha Maisha mapya Rafiki yako awe Mtu mmoja tu na ni Huyo unayelala naye kwa kipindi hicho...

Kubali kuachilia Kila kitu kwa Muda na ikiwezekana badilisheni namba za simu muanze Maisha Mapya ya Kwenu tu.
 

Expectation beyond reality [emoji28][emoji28]

Ndo inatesa apo ulitegemea harufu ya chungwa unakutana na shombo ya samaki, unategemea tundu la sindano kitu tundu la muwa af usijione una mkosi [emoji28]
 
Pole sana bibie
 
Expectation beyond reality [emoji28][emoji28]

Ndo inatesa apo ulitegemea harufu ya chungwa unakutana na shombo ya samaki, unategemea tundu la sindano kitu tundu la muwa af usijione una mkosi [emoji28]
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…