Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,051
- 5,104
Mkiambiwa oleweni na marafiki zenu mnakaza shingo, marry your friend maana kwenye ndoa kunyanduana ni kasehem tu, lazma muwe na kitu zaidi kunyanduana kinachowakutanisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdada atakiwa ajue yeye ni msaidizi, kwa hio mpaka hapo ameshidwa kutimiza jukumu lake anataka afanye majukumu ya kupanga badala ya kuuliza tufanye nini ili achangie kama msaidizi, lazima ajue vision ya Mume ni nini na je iko sawa? kama haiko sawa asaidie kuirekebisha na Kuwa sehemu ya vision hio, lazima ajue maisha yatakuwaje baada ya miaka 50,60,70, 100. kama asipobadilika ataanzisha ugomvi.Mdau (ke) yupo ndani ya ndoa kwa mwaka 1 Ila tabia ya mme wake inampa shida Sana
1) jamaa mkimya Sana akiamka asubuh Salam anaaga anaenda kazini akirudi Salam anakaa kimya anakula ataangalia mpira kimya badae kulala ata bidada akimsemesha anajibu tu short then kimya Ila akija mgeni anaongea tu vizuri na kucheka
2.ndani hakuna kukaa kupanga labda maendeleo tufanye hiki ...jamaa anakazi na bidada anakazi,,, jamaa akipanga kufanya lake anafanya bila kumshirikisha bidada
Inampa shida bidada sababu nayeye akipata mshahara anashindwa achangie vp mfano ujenzi au maendeleo ya ndani anaishi kununua vitu let say vya ndani anataman wapange pamoja washirikiane ujenzi na maendeleo kwa pamoja
3) sex inaweza pita wiki or wk 2 hawajapeana ...kwa Sasa bidada mjamzito miez 4 hajaguswa tangu ujauzito una mwezi mmoja
Bidada inamchanganya japo jamaa anahudumia vizuri familia, hawakukaa mda mrefu Sana kwenye uchumba so hakumsoma vizuri
Haipendezi mkuu inatakiwa iwe automatically kufanya mambo na kupangilia pamoja kumbuka unavyomwambia ni kama kumlazimishia Fulani huyo Dada inakuwa kama kuforce mapenzi.....ndoa zina changamoto sana SAA nyingine Basi tu.Ndio maana mnaambiwaga ndoa sio fasheni ili mradi tu uwaringishie watu kuwa umeolewa.
Jitahidi uolewe na rafiki yako. Huyo mwanaume wala hana tatizo, shida hapo ni kila mtu na hulka tofauti.
Suluhisho hapo; Kama mume haongei wewe muongeleshe, Kama hakugegedi wewe usilale na nguo kisha anzisha wewe miguso mbona kinaeleweka tu. Kama hapangi mikakati ya maendeleo anzisha wewe mada ya nini unapenda kifanyike.
Kumbukeni ndoa ni muunganiko wa watu wawili wa jinsia tofauti na wenye tabia za tofauti.
Hii pia hua inaweza kusababishwa na wanandoa kupishana sana umri. Unakuta mume ana miaka 45 mke ana 21, saa nyingine mume anaona kama hana cha kuongea na mkewe.Mkiambiwa oleweni na marafiki zenu mnakaza shingo, marry your friend maana kwenye ndoa kunyanduana ni kasehem tu, lazma muwe na kitu zaidi kunyanduana kinachowakutanisha
Ushauri mzuri sana huu, mwambie afuate huu ushauri ni kiasi cha yeye kujiongeza tu.Ndio maana mnaambiwaga ndoa sio fasheni ili mradi tu uwaringishie watu kuwa umeolewa.
Jitahidi uolewe na rafiki yako. Huyo mwanaume wala hana tatizo, shida hapo ni kila mtu na hulka tofauti.
Suluhisho hapo; Kama mume haongei wewe muongeleshe, Kama hakugegedi wewe usilale na nguo kisha anzisha wewe miguso mbona kinaeleweka tu. Kama hapangi mikakati ya maendeleo anzisha wewe mada ya nini unapenda kifanyike.
Kumbukeni ndoa ni muunganiko wa watu wawili wa jinsia tofauti na wenye tabia za tofauti.
Siri kubwa imejificha hapa
Anyway, kwa kuwa hilo lilisharukwa basi tukubali limepita na tuliache, kwa sasa bidada ajue mumewe ni mtu wa aina gani na ajiandae kuishi nae kwa miaka 100 ijayo katika hali hiyo. Aji adjust fikra zake towards ndoa na asim compare jamaa na ma boiyfrendi wa zamani. Ajue mume ndio huyo na ndio alivyo. Kwa kuwa jamaa hajalalamika kuomba kuchangiwa matumizi na maendeleo basi bidada atunze hela zake tu. Au kama ni lazima kuchangia maendeleo achangie tu ila asije akafanya siri. Kama ni kiwanja nae anunue tu kisha amwambie mumewe au gari anunue tu alafu amwambie mumewe asimfiche kitu na mume akilalamika kwa nini hakushirikishwa basi ndio solution itapatikana kuanzia hapo maana watayaongea
Upande wa kukosa mkuyenge nashindwa cha kushauri aisee.
Acha kuzusha, hawawezi kuishi wote miaka 100 sema kama ni mingi 70 tu.
Hukuelewa somo hususan ni mahesabu. Sasa ana miaka 30. Ukiongeza 100 anayosema atakuwa na miaka 130. Si rahisi kwa mwanaume kuishi miaka 130. Nasema kuwa kama ni mingi ni 70+30=100.Nadhani huifahamu hata ile methali inayosema siku za mwizi ni arobaini.
Wazazi wanahusikaje Hapo.... Yaani awe na mimba awe msumbufu halafu aweke masharti ya kugegedwa halafu awe mchafu hamu itatoka wapi..Duh! Ongea naye kwa kituo ikishindikana washirikishe wazazi wa pande zote mbili ili wawasaidie.
Dada yangu na shemeji yangu najua hii story inakuhusu Wewe na naomba unijibu kwa staha siyo Kama ulivyomjibu Mdau mmoja hapo juuu....Mdau (ke) yupo ndani ya ndoa kwa mwaka 1 Ila tabia ya mme wake inampa shida Sana
1) jamaa mkimya Sana akiamka asubuh Salam anaaga anaenda kazini akirudi Salam anakaa kimya anakula ataangalia mpira kimya badae kulala ata bidada akimsemesha anajibu tu short then kimya Ila akija mgeni anaongea tu vizuri na kucheka
2.ndani hakuna kukaa kupanga labda maendeleo tufanye hiki ...jamaa anakazi na bidada anakazi,,, jamaa akipanga kufanya lake anafanya bila kumshirikisha bidada
Inampa shida bidada sababu nayeye akipata mshahara anashindwa achangie vp mfano ujenzi au maendeleo ya ndani anaishi kununua vitu let say vya ndani anataman wapange pamoja washirikiane ujenzi na maendeleo kwa pamoja
3) sex inaweza pita wiki or wk 2 hawajapeana ...kwa Sasa bidada mjamzito miez 4 hajaguswa tangu ujauzito una mwezi mmoja
Bidada inamchanganya japo jamaa anahudumia vizuri familia, hawakukaa mda mrefu Sana kwenye uchumba so hakumsoma vizuri
Jamaa alikuwa na tabia hiyo hiyo wakati wanaanza mahusiano yao au tabia imekuja kubadilika sasa .
Inawezekana jamaa amekuja kugundua vitu kadhaa wa kadhaa cha bidada hivyo , hiyo ni hatua ambazo jamaa kachukua kuonyesha kama mambo hayako sawa au kama yalivyokuwa kuwa hapo awali
Pole sana bibieMdau (ke) yupo ndani ya ndoa kwa mwaka 1 Ila tabia ya mme wake inampa shida sana.
1). Jamaa mkimya sana akiamka asubuhi salamu anaaga anaenda kazini akirudi salamu anakaa kimya anakula ataangalia mpira kimya badae kulala ata bidada akimsemesha anajibu tu short then kimya Ila akija mgeni anaongea tu vizuri na kucheka.
2). Ndani hakuna kukaa kupanga labda maendeleo tufanye hiki ...jamaa anakazi na bidada anakazi,,, jamaa akipanga kufanya lake anafanya bila kumshirikisha bidada. Inampa shida bidada sababu nayeye akipata mshahara anashindwa achangie vp mfano ujenzi au maendeleo ya ndani anaishi kununua vitu let say vya ndani anataman wapange pamoja washirikiane ujenzi na maendeleo kwa pamoja.
3). Sex inaweza pita wiki or wk 2 hawajapeana kwa Sasa bidada mjamzito miez 4 hajaguswa tangu ujauzito una mwezi mmoja.
Bidada inamchanganya japo jamaa anahudumia vizuri familia, hawakukaa mda mrefu sana kwenye uchumba so hakumsoma vizuri.
Expectation beyond reality [emoji28][emoji28]
Ndo inatesa apo ulitegemea harufu ya chungwa unakutana na shombo ya samaki, unategemea tundu la sindano kitu tundu la muwa af usijione una mkosi [emoji28]
Siri kubwa imejificha hapa
Anyway, kwa kuwa hilo lilisharukwa basi tukubali limepita na tuliache, kwa sasa bidada ajue mumewe ni mtu wa aina gani na ajiandae kuishi nae kwa miaka 100 ijayo katika hali hiyo. Aji adjust fikra zake towards ndoa na asim compare jamaa na ma boiyfrendi wa zamani.
Ajue mume ndio huyo na ndio alivyo. Kwa kuwa jamaa hajalalamika kuomba kuchangiwa matumizi na maendeleo basi bidada atunze hela zake tu. Au kama ni lazima kuchangia maendeleo achangie tu ila asije akafanya siri.
Kama ni kiwanja nae anunue tu kisha amwambie mumewe au gari anunue tu alafu amwambie mumewe asimfiche kitu na mume akilalamika kwa nini hakushirikishwa basi ndio solution itapatikana kuanzia hapo maana watayaongea
Upande wa kukosa mkuyenge nashindwa cha kushauri aisee.