Anapika chakula hanipi, hanifulii nguo halafu anataka ndoa


 
Umeoa ama bado? Unataka akufulie kama mchumba ama kama mume? Fafanua pls
 
Tunaishi kienyeji hatuna ndoa ya kanisani wala bomani.
Ok, hapo nimekuelewa kamanda. Kama kaanza vituko mapema namna hiyo na hamjaingia ndani rasmi, usidhani atabadilika akishakua na ndoa rasmi. JIONGEZE.
 
Analazimisha kwa kuniambia mimi ni halali yake.
Analazimisha????????? Mwanamke anakulazimisha wewe mwanaume?? Kiaje??

Ndoa sio kutiana tu, ndoa ni majukumu makubwa ya kuijenga na kuilea familia, msipokuwa kitu kimoja utakufa kabla ya wakati wako kwa msongo wa mawazo
 
Ndo Mana wanaume tunawahi kufa kwa kuruhusu Mambo Kama haya yatupeleke,wakati ww unawaza hivyo mwenzio anaona kawaida tu Sasa kwanini usife mapema, procrastination/Dilatoriness itatumaliza na hapo huna excuse...
 
Ongea nae kwa kina. Mweleze ukweli mambo ya ajabu anayoyafanya. Asipobadilka achana nae.
 
Duuuh wanaume wengi inaonyesha hamjui logic ya Mungu kuumba wanawake wengi kuliko wanaume
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah we jamaa nahisi utakuwa na udugu waa damu na ukoo wa Albert Einstein sio kwa smart comment kiasi hiki.
 
Chakula natoa hela mimi ila akipika ndiyo hivyo.
Hii situation nilishawahi kuiona. Kuna sampuli ya chuo ilikuwa ikija weekend kuchill from Friday to Monday. But nikanotice tabia kama hizo.

Ilikuwa kwanza ina ulafi wa kijinga sana. Imagine sampuli inapiga ile chupa ya coca-cola ya lita 2 yote bila mimi kunipa collaboration yoyote.

Yaani anakata chupa nzima ile kuanzia asubuhi hadi jioni chupa inakuwa tupu. Ukiweka vitu vidogo vidogo kama bites akiwa anaondoka anapakia kwenye pochi chupa mbili za takeaway soda, mara abebe sijui nini. Nikahisi pengine ni kukosa pocket money nikawa nampatia ila wapi.

Sasa nikaja kujifunza kuna watu wako poor na empty in home training. Hawakufunzwa ukarimu na kujali wengine. Pia hawakufunzwa au kuelewa manners ili kubehave vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…