West standard
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 441
- 649
- Thread starter
- #81
Nilikutana nae kupitia kwa simu ya jirani yake huko kwao, Kwangu alikuja mwenyewe baada ya jaribio la kumtorosha kwao kushindikana, ikawa yeye afunge safari aje mahali nilipo...alifika town ikawa mimi nilishatoka mapema asubuhi kuenda sokoni- Akaniambia tayari amefika mahali ninakoishi basi nikamwelekeza mahali zilipo funguo, Niliporudi jioni nikampata yupo ndani ya nyumba.Kwanza tuanzie uchunguzi 'investigation' katika kujuana kwenu na aina gani ya penzi mnalopitia.. inaonesha hujamtongoza wewe au yeye ndo alikufata.. au ndo 'single relation.. aka blind love' Kiufupi pole ila rejea swali langu hapo nyuma. aina gani ya penzi mnalopitia.?