grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Hao ndiyo huitwa FeministNilipozaliwa nilitamani siku moja niwe na familia yenye Amani furaha na upendo lakini vyote hakuna badala yake, Mwanamke hanifulii anapika Chakula hanipi, Anaenda mbali na tulipo haniambii.
Halafu ananiambia anataka tufunge ndoa. Kweli?
Nimfanye nini huyu mwanamke?
Analazimisha kwa kuniambia mimi ni halali yake.
Chakula natoa hela mimi ila akipika ndiyo hivyo.
Inaonekana shem anakumudu sana blaza,sasa kama hujamuoa anakupa kauliza kishujaa hivi,ukimuoa si atakua kijogoo humo ndani.Analazimisha kwa kuniambia mimi ni halali yake.
Huyo ni mlango wa 7Nilipozaliwa nilitamani siku moja niwe na familia yenye Amani furaha na upendo lakini vyote hakuna badala yake, Mwanamke hanifulii anapika Chakula hanipi, Anaenda mbali na tulipo haniambii.
Halafu ananiambia anataka tufunge ndoa. Kweli?
Nimfanye nini huyu mwanamke?
Mlango wa saba kwa namna gani mkuu,Huyo ni mlango wa 7
Kwanza tuanzie uchunguzi 'investigation' katika kujuana kwenu na aina gani ya penzi mnalopitia.. inaonesha hujamtongoza wewe au yeye ndo alikufata.. au ndo 'single relation.. aka blind love' Kiufupi pole ila rejea swali langu hapo nyuma. aina gani ya penzi mnalopitia.?Nilipozaliwa nilitamani siku moja niwe na familia yenye Amani furaha na upendo lakini vyote hakuna badala yake, Mwanamke hanifulii anapika Chakula hanipi, Anaenda mbali na tulipo haniambii.
Halafu ananiambia anataka tufunge ndoa. Kweli?
Nimfanye nini huyu mwanamke?
Huyo hana kigezo cha kua mkeMlango wa saba kwa namna gani mkuu,
Naomba ufafanuzi.
Bas ww ndio mwenye matatizo maana ata msimamo hauna ubapelekeshwa na mwanamke mjinga.Analazimisha kwa kuniambia mimi ni halali yake.
Uyu sio Mwanaume ni mvulanaJaman kumbe WANAUME kama wewe mpaka leo mpo? Inabidi tuwaweke makumbusho ya taifa [emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]