Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Kupanga ni kuchagua.Kwa mimi asipokuwa na adabu ni kupiga chini hapohapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupanga ni kuchagua.Kwa mimi asipokuwa na adabu ni kupiga chini hapohapo
Hiyo ndiyo kanuni yangu ya maishaKupanga ni kuchagua.
Halafu wewe mbishi sana kichwa ngumu ilitakiwa tuoaneHiyo ndiyo kanuni yangu ya maisha
Huyo ni mkeo au ni demu tuMens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.
Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
Na wewe ulivyo na kichwa ngumu ndoa yetu ingekuwa ni mchakamchaka humo ndaniHalafu wewe mbishi sana kichwa ngumu ilitakiwa tuoane
Yaani hata namna anawasiliana na baba yake na kaka zake huwa inakuwa sio kama alivyokuwa single sembuse kupost mwanaume mwingine ambaye hana udugu nae.Hivi ni mm na ushamba wangu au mwanamke akiolewa anatakiwa achunge anachopost hasa kinachohusu wanaume wengine ambao si ndugu zake!
sijui n malezi ila ni tabia ya hovyo kweli.Sasa kama hawezi hata kujinukulia kuku hata wa broiler mpaka atoe matangazo ,huyo iko na shida sehemu
Ongea naye kabisa ajue mapema isee faster mwambie asimame kwenye himaya yake na akumbuke wewe ni nani hayo yote yanapatikana mkiwa na umoja navision kubwa.Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.
Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
Kabisa mkuu, wanaume wamepungua sanaHata akimpost ndugu yake tena iwe mara moja kwa miaka 10.. wanaume wengi kwenye ndoa wamelegea sana ndiyo tunakutana na shida kama hzi
Acha uongo mzee huna hata gutaHata mi nashangaa pia sio wanawake tu hata wanaume wanaonunua magari na kudharau wengine na kuona gari ni kitu cha maana sana au wanaume wanaoona kuwa mwanaume mwenzake akimiliki gari kama ana maisha mazuri. Mimi nina magari 2 (langu na la wife) ila sijawahi ona uthamani wake hadi ninyanyase au nidharau wengine kwa namna yoyote. Napakiza yoyote mtoto au mkubwa. Mgonjwa au mzima. Kukiwa na ugonjwa au msiba huku Kijijini ninapoishi huwa Natoa gari 1 hususani ninalolitumia mimi kwa ajili ya shughuli za kijamii.
Pole na Mungu akusaidie bro. Usijihukumu wala kujisikia vibaya. Gari sio kitu mkuu. Pambana kaka.
Ndugu huo ni ukweli mimi iliwahi nitokea kwa mpenzi wangu mimi sijawahi postiwa nina mwaka mzima ila katika huo mwaka kuna rafiki yake mwenye gari kapostiwa mara 3 ilikuwa inauma sanaHivi unaanzaje kupost status picha ya mwanaume na charting juu..huu ni uongoo..kama ni ukweli huna mke una kichenchede...
Haipo na haitakaa iwepo....
Hahaaaa nyie maskini ndio mnaona gari kitu cha maana sana.Acha uongo mzee huna hata guta🤣🤣🤣🤣🤣