Kataa ndoa 3 kivipi ilihali ndoa zinafungwa? Ukishaanza kuhamasisha watu wasifunge ndoa huwezi sema umefanikiwa baada ya ndoa kufungwa na kuvunjika, unafanikiwa kwa ndoa kutokufungwa.Kataa ndoa 3:0 walio kwenye doa. halafu uwanja umeinama possession 80% kwa 20%
Hawa ukikosa ndalama tuu ujue utaoga matusi ya reja reja.Ukishakuwa useless kwa mwanamke hasa mke wa ndoa cha moto utakiona.
Ndio tatizo letu sisi wanawake, tunatamani vitu ambayo wevyewe hatuwezi hata kuvipata. Tamaa mbaya sana. Unatamani mwenye gari ilihali hata huwezi kununua baiskeliUkishakuwa useless kwa mwanamke hasa mke wa ndoa cha moto utakiona.
🤣🤣🤣🤣Hawa ukikosa ndalama tuu ujue utaoga matusi ya reja reja.
Huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni aliniambia mbwa yule kisa nimepigika....fear women i tell u
Acheni kumqingizia shetani. Hizo ni tamaa tu za wanawake ambao hawajui maana ya maisha na mahusiano. Kama hujawa tayari kuolewa, usipotezee mwenzako muda. Tafuta hao wenye maisha mazuri sio unaenda sijui kanisani unaapa kwa shida na raha ili hali moyo umejaa unafiki.Shetani anapiga patrol hapo anataka achukue point 3 Mungu kashampa go ahead nenda kwa mtumishi wangu Ayubu mjaribu unavyoweza Ila tu usimuue, sasa kaanza kucheza na akili yako Mzee ukiileta mihemko utaharibu ndoa kwan shillings ngapi shemu haumgongi au napo pia anakubania?
Mkuu kwani kabla ya kumuoa mlipitia kwenye atua ya uchumba, kwani yeye kwao wana magari au kama ana kaka zake au wadogo zake wakiume wana miliki magari.Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.
Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
Kwa comment zote ,hii ni potovu kupitilizaVumilia mwanangu, yatapita
Sasa kama hawezi hata kujinukulia kuku hata wa broiler mpaka atoe matangazo ,huyo iko na shida sehemuNaunga mkono hoja, kuna wanawake ni shenzi type kabisa.
Unakuta mke wa mtu anapost kabisa eti "leo nna hamu ya kula kuku nani aninunulie"? Siriazi ?
Mwanamke wa aina hiyo hafai ni wakupiga chini ili aende kwa hao wenye magari aone kama wana muda nae baada ya kuliwa.
Mkuu hiyo familia inafanya makosa makubwa na inajenga roho ya ajabu kwa watoto wao, mfano watoto wakike wa familia hiyo wakija kuolewa wataendelea kuwafanyia matendo mabaya waume zao kipindi wakiwa kwenye hari ngumu ya kiuchumi.Hivi hata kama mtu lets say kijana kamaliza chuo na hajapata kazi , hivi anaweza kudharaulika mpaka na wazazi wake na hata ndugu zake? Maana kuna kijana mwenzangu hapa anapitia hiyo changamoto hadi stage ya kunyimwa msosi home kwao!
Mkuu inategemea na aina ya wazazi, wazaz wa mjini wanajua hari halisi ya ajira kwa sasa, Wazazi wa vijijini wakulima hawajui mifumo ya ajira kwa sasa wao wanachojua upo mjini pesa unazo na hawajui aina gani ya kazi ina maslahi mazuri .Kabisa wazazi hawajui ugumu wa kazi saiv wana ile mentality ukimalza ajira unapata huanze kuwasaidia.
AiseeHawa ukikosa ndalama tuu ujue utaoga matusi ya reja reja.
Huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni aliniambia mbwa yule kisa nimepigika....fear women i tell u