Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

Sasa umeshajua kama jamaa ndio anaishi kwa mwanamke au umejua anaelipa kodi ya pango na matumizi ya nyumbani ni nani anatoa?

Jamaa angekuwa anasimamia nafasi yake haya yasingetokea.. Na hapa inaelekea hali hiyo imesha mtafuna na kumdhoofisha.. Hamtoshelezi mwenzie kimwili wala kiuchumi lazima dharau za reja reja kama hizo ziibuke.

Hapo jamaa ndio ajiachie tu.. Aende chimbo kujitafuta.. Akiforce kukaza kumprove wrong huyo mwanamke atazidi kujimaliza kwa depression ambayo inaweza kusababisha mental issues.. Na maafa.
Hii ni amri kutoka kambi ya wanaume katika nchi ya kiumeni .

Mleta mada amri ishatolewa ondoka mara moja kwa huyo malaya hauna tija tena kwake .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Hivi hata kama mtu lets say kijana kamaliza chuo na hajapata kazi , hivi anaweza kudharaulika mpaka na wazazi wake na hata ndugu zake? Maana kuna kijana mwenzangu hapa anapitia hiyo changamoto hadi stage ya kunyimwa msosi home kwao!
Inawezekana kabisa lakini ndugu zangu wasomi kuna mahali wanakwama .

Wewe unajua fika unatoka kwenye familia ya hoe hae sasa kisa kabumu ushaanza kuwatumia ndugu zako vimia mia kwanini wasihisi kwamba tayari maisha umeyapatia ni hapo wakimaliza wakarudi makwao na tusuruali twa modo ndugu wanoana sio kweli huyu jamaa ni mjinga inabid asulubishwe mpaka aende kujitafuta tena lakini mazingira ya kunyanyaswa wanayatengeneza wao kupitia kujiona maisha yameyapatia .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Mimi napenda memes, sana! Ila huwa naangalia ipi ya kupost, siwezi kupost meme ya kuleta shida ktk mahusiano yangu au hata kuzua taharuki kwa wanaonizunguka.

Moyo na heshima ya mwanaume wangu ni kipaumbele changu namba moja, navilinda.
Haya swali la pili. Hauna mdogo wako?
 
Kwa Comments hizi sidhani kama mkeo atafikisha Masaa 24 hapo home😂😂. BTW umeoa Malaya asie na Akili.
 
ulimuoa kwasababu alikwambia umuoe pole sana...kwa kifupi ukitaka kuonana na shetani uso kwa uso thubutu kuoa...🤣🤣🤣🤣

pole sana ndugu yangu...!​
 
ulimuoa kwasababu alikwambia umuoe pole sana...kwa kifupi ukitaka kuonana na shetani uso kwa uso thubutu kuoa...🤣🤣🤣🤣

pole sana ndugu yangu...!​
 
Piga chini hiyo mauchafu hapo huna mke. Kama huwezi kuivunja hiyo unayoiita ndoa vipande vipande tupe namba ya mkeo tukusaidie kuibomoa iliuwe na amani nauanze upya kutafuta mama inayojielewa.
 
Hivi hata kama mtu lets say kijana kamaliza chuo na hajapata kazi , hivi anaweza kudharaulika mpaka na wazazi wake na hata ndugu zake? Maana kuna kijana mwenzangu hapa anapitia hiyo changamoto hadi stage ya kunyimwa msosi home kwao!
Hiii nilipitia mimi mkuu..bahati mbaya mdogo wangu alimaliza na yy akapata kazi kabla yangu..nakumbuka nilikimbilia kwa demu wangu huko ndiko nilikojifunza maisha....namshukuru sana yule dada alinilea na alinifundisha jinsi ya kuhustle ..
 
Huwa nashangaa kwa nini wengine hawana akili kama hii? Unakuta mke wa mtu anapost meme za usaliti kwenye ndoa.
Nifah hauna mdogo wako?
Nilijuaga ninayepitia kwenye hii situation ni mimi tu kumbe hili ni janga la kina dada wengi la kutojitambua kwao...
 
Huwa nashangaa kwa nini wengine hawana akili kama hii? Unakuta mke wa mtu anapost meme za usaliti kwenye ndoa.
Nifah hauna mdogo wako?
Sio kila mwanamke anafaa kuwa mke, tatizo vijana wanaoa sura na tako matokeo wanakuja kuyaweka ndani mamalaya

Malaya ni malaya huwa habadiliki hata siku moja
 
Naona siku za hivi karibuni nyuzi za Wanaume kulalamika kuhusu ndoa zao zimekuwa nyingi sana, why??? Au ni mbinu maalumu ya kufanya kampeni ya "kataa ndoa" huku ajenda zikiletwa hapa jukwaani kwa kupitia mlango wa nyuma?
Zamani ilikuwa ni wanawake wanalalamika sana kwenye ndoa zao, na hii ilikuwa ni furaha kwa wanaume.

Sasa hivi wameacha kulalamika kila kitu wanajionea poa tu wamekuwa masugu, kibao limewageukia wanaume😅😅😅.
 
Zamani ilikuwa ni wanawake wanalalamika sana kwenye ndoa zao, na hii ilikuwa ni furaha kwa wanaume.

Sasa hivi wameacha kulalamika kila kitu wanajionea poa tu wamekuwa masugu kibao limewageukia wanaume😅😅😅.
Inasikitisha sana

Wavulana hao they have to learn things the hard way to be men

Ukiwa mwanamume uliye mature enough huwezi kuja na nyuzi za kitoto kama za wavulana wengi wa hapa MMU
 
Inasikitisha sana

Wavulana hao they have to learn things the hard way to be men
Hawawezi kulearn ishakuwa too late, wanaume wasasa wengi hawajitambui sijui wakoje yaani.
Kwanza unaruhusu vipi mkeo/mpenzi kumpost mwanaume ambae sio ndugu yako?
Na huyo bidada anajiamini kwamba jamaa hatafanya lolote.

Kikawaida kabisa hakuna mke mwenye uthubutu kama wa huyo mwenzetu. Tatizo ni kichwa cha familia..
 
Back
Top Bottom