MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Hii ni amri kutoka kambi ya wanaume katika nchi ya kiumeni .Sasa umeshajua kama jamaa ndio anaishi kwa mwanamke au umejua anaelipa kodi ya pango na matumizi ya nyumbani ni nani anatoa?
Jamaa angekuwa anasimamia nafasi yake haya yasingetokea.. Na hapa inaelekea hali hiyo imesha mtafuna na kumdhoofisha.. Hamtoshelezi mwenzie kimwili wala kiuchumi lazima dharau za reja reja kama hizo ziibuke.
Hapo jamaa ndio ajiachie tu.. Aende chimbo kujitafuta.. Akiforce kukaza kumprove wrong huyo mwanamke atazidi kujimaliza kwa depression ambayo inaweza kusababisha mental issues.. Na maafa.
Mleta mada amri ishatolewa ondoka mara moja kwa huyo malaya hauna tija tena kwake .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app