MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Hii ni amri kutoka kambi ya wanaume katika nchi ya kiumeni .Sasa umeshajua kama jamaa ndio anaishi kwa mwanamke au umejua anaelipa kodi ya pango na matumizi ya nyumbani ni nani anatoa?
Jamaa angekuwa anasimamia nafasi yake haya yasingetokea.. Na hapa inaelekea hali hiyo imesha mtafuna na kumdhoofisha.. Hamtoshelezi mwenzie kimwili wala kiuchumi lazima dharau za reja reja kama hizo ziibuke.
Hapo jamaa ndio ajiachie tu.. Aende chimbo kujitafuta.. Akiforce kukaza kumprove wrong huyo mwanamke atazidi kujimaliza kwa depression ambayo inaweza kusababisha mental issues.. Na maafa.
Hii ni amri kutoka kambi ya wanaume katika nchi ya kiumeni .Sasa umeshajua kama jamaa ndio anaishi kwa mwanamke au umejua anaelipa kodi ya pango na matumizi ya nyumbani ni nani anatoa?
Jamaa angekuwa anasimamia nafasi yake haya yasingetokea.. Na hapa inaelekea hali hiyo imesha mtafuna na kumdhoofisha.. Hamtoshelezi mwenzie kimwili wala kiuchumi lazima dharau za reja reja kama hizo ziibuke.
Hapo jamaa ndio ajiachie tu.. Aende chimbo kujitafuta.. Akiforce kukaza kumprove wrong huyo mwanamke atazidi kujimaliza kwa depression ambayo inaweza kusababisha mental issues.. Na maafa.
Inawezekana kabisa lakini ndugu zangu wasomi kuna mahali wanakwama .Hivi hata kama mtu lets say kijana kamaliza chuo na hajapata kazi , hivi anaweza kudharaulika mpaka na wazazi wake na hata ndugu zake? Maana kuna kijana mwenzangu hapa anapitia hiyo changamoto hadi stage ya kunyimwa msosi home kwao!
Haya swali la pili. Hauna mdogo wako?Mimi napenda memes, sana! Ila huwa naangalia ipi ya kupost, siwezi kupost meme ya kuleta shida ktk mahusiano yangu au hata kuzua taharuki kwa wanaonizunguka.
Moyo na heshima ya mwanaume wangu ni kipaumbele changu namba moja, navilinda.
NAKAZIA [emoji419][emoji375]Mkuu,
Hata uchumi ukishuka kiasi gani, usikubali kupoteza uanaume wako, superiority inatakiwa ibaki pale pale.
Hiii nilipitia mimi mkuu..bahati mbaya mdogo wangu alimaliza na yy akapata kazi kabla yangu..nakumbuka nilikimbilia kwa demu wangu huko ndiko nilikojifunza maisha....namshukuru sana yule dada alinilea na alinifundisha jinsi ya kuhustle ..Hivi hata kama mtu lets say kijana kamaliza chuo na hajapata kazi , hivi anaweza kudharaulika mpaka na wazazi wake na hata ndugu zake? Maana kuna kijana mwenzangu hapa anapitia hiyo changamoto hadi stage ya kunyimwa msosi home kwao!
Nilijuaga ninayepitia kwenye hii situation ni mimi tu kumbe hili ni janga la kina dada wengi la kutojitambua kwao...Huwa nashangaa kwa nini wengine hawana akili kama hii? Unakuta mke wa mtu anapost meme za usaliti kwenye ndoa.
Nifah hauna mdogo wako?
Sio kila mwanamke anafaa kuwa mke, tatizo vijana wanaoa sura na tako matokeo wanakuja kuyaweka ndani mamalayaHuwa nashangaa kwa nini wengine hawana akili kama hii? Unakuta mke wa mtu anapost meme za usaliti kwenye ndoa.
Nifah hauna mdogo wako?
Zamani ilikuwa ni wanawake wanalalamika sana kwenye ndoa zao, na hii ilikuwa ni furaha kwa wanaume.Naona siku za hivi karibuni nyuzi za Wanaume kulalamika kuhusu ndoa zao zimekuwa nyingi sana, why??? Au ni mbinu maalumu ya kufanya kampeni ya "kataa ndoa" huku ajenda zikiletwa hapa jukwaani kwa kupitia mlango wa nyuma?
Inasikitisha sanaZamani ilikuwa ni wanawake wanalalamika sana kwenye ndoa zao, na hii ilikuwa ni furaha kwa wanaume.
Sasa hivi wameacha kulalamika kila kitu wanajionea poa tu wamekuwa masugu kibao limewageukia wanaume😅😅😅.
Hata akimpost ndugu yake tena iwe mara moja kwa miaka 10.. wanaume wengi kwenye ndoa wamelegea sana ndiyo tunakutana na shida kama hziKabisa kabisa, kwanza mtu umeolewa unapataje huo ujasiri na akili ya kupost mwanaume mwingine tofauti na ndugu
Hawawezi kulearn ishakuwa too late, wanaume wasasa wengi hawajitambui sijui wakoje yaani.Inasikitisha sana
Wavulana hao they have to learn things the hard way to be men