Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

Mwenzangu! Sio tu kuolewa, hata katika mahusiano sithubutu kupost picha na video za wanaume wengine hata kwa zile za kuchekesha!

Hiyo nguvu ya kupost chats na mwanaume mwingine, tena nikiwa namsifia napata wapiiiiii?
Ujengewe sanamu
 
Huyo anakwambia hautoshi, wewe sio mwanaume kamili kiaina. Ilitakiwa akupe support, akutie moyo, mpambane pamoja.

Ukiumwa kwa muda mrefu sio ndio atakukimbia kabisa?
 
Huyo hata ukiwa na pesa haridhiki ...utafikiria baba yake tajiri kimbia hapo unachoma nyota huyu
 
Ukiona mwanamke anampost mwanaume asie mumewe, jua huna mke.

Huyo anajiuza au alishaliwa.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Mwenzangu! Sio tu kuolewa, hata katika mahusiano sithubutu kupost picha na video za wanaume wengine hata kwa zile za kuchekesha!

Hiyo nguvu ya kupost chats na mwanaume mwingine, tena nikiwa namsifia napata wapiiiiii?
hata kaka yako ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…