Anasema yeye ndo anatoa hela, leo kaombwa hela live kawa Mkali

Mi mwenyewe nimeshangaa sana. Anayotaka kusifiwa nayo ndiyo hayo Mpina kayaomba mbele yake.

Badala ya kumpa au hata kumzuga kwa ahadi kuwa atampa akaamua kuchimba bit na kujaribu kumdogosha..kaonesha kiwango cha chini sana cha uelewa
 
Mpina hana kosa gani? Kwa ground matatizo yako mengi mikoani wilaya ni vile wabunge wameamua kua mama hatukudai Ina maana majimboni mwao
Swari sasa sijui waturudije kwa wananchi hao wabunge waliojifanya wametatua matatizo yote
 
Hahahaha ha ha 😁😁😁
 
Huyu maza huwa hapendi kuahidi..na ni mzito sana kutoa ahadi....
Sijui kampeni atazifanyeje.

Natabiri kwamba; kwenye kampeni zake, hatafikisha 50% ya eneo atakalotakiwa kulifikia ili kunadi irani na wagombea
 
Wananchi wamemshangilia Mpina kwa Mayowe makubwa sana! lakini wamenyamaza kabisa wakati Bashe na Mama wanaongea, Hii maana yake nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…