Anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku

Bila shaka aliwekewa mtego na inaonekana mambo hayo anayo muda mrefu, sidhani mtu kama mkuu wa wilaya tena wakili akurupuke tu saa 5 za usiku kwenda kwenye tukio kama hilo.

Pole yake akichomoka hapo akatambike.
 

haya mazoea niliyakataa kabisa kipindi napanga uswahili huko... chumba changu hakina urafiki na mtu, hata mademu nilikuwa naendaga kumaliza kwenye maguest huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…