Anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku

du!!! jamaa kaisha aisee!!!
 
Lengo lake lilikua kutafuta inayobana apunguziwe adhabu
 
Kumbe nyinyi Wanawake huwa mnaanza Mambo ya Ngono mkiwa bado wadogo sana,miaka kumi na mbili huyo bado ni Mtoto sana, Umasikini isiwe ndiyo ruhusa ya kufanya kila Jambo la kijinga!!

Mimi pia nimebaki kushangaa statement ya huyo mdau!

Ila pia nimeelewa kwanini tupo tulipo leo hii, mtoa statement ni future parent/caregiver or maybe they already are. Kazi ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…