Anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku

Naunga mkono hoja
 
Kijiji Moja Maarufu Sana Kwa wilaya ya tunduru kinaitwa LIGUNGA
Kimasichana nipo nyumba ya kulala wageni, saa Saba usiku nasikia puu paapalalllaalalaa! Kumbe jiwe limerushwa juu ya bati. Baadaye, nikaamka na kumfuata mlizi, na kumuuliza Kulikoni?

Nikaambiwa utakuwa umegundulika umelala chumbani kwako peke yako bila mwenzako wa jisia tofauti!!! Hapa wakazi wamejiwekea utaratibu wageni lazima wawe na wenzi wao ili kulala maeneo haya vinginevyo utoke Nje umtafute mwezi wako wa kulala naye!! Nilishituka sana.
====
Mungu tusaidie tuwalee watoto wetu vizuri kimaadili. Amen.
 
Huko ndio kwa wastaarab wanaojua kuwakarim wagen


Na bila shaka hili liwekwe kwenye katiba mpya
 
Jamaa anaenda kunyea debe kama masikhara vile.
Sisemi kama alilofanya huyo jamaa ni zuri sana, Ila mimi nashangaa, sijawahi sikia mwanaume akifungwa miaka 30 kisa ni shoga, na mbona hawatengenezagi mitego ya kukamata wanaume wanaokulana wenyewe kwa wenyewe?

Kipindi kile Makonda alianzisha kampeni ya kukamata mashoga, James delicious alikuwa mahabusu kabisa na alitakiwa afungwe miaka 30 kulingana na sheria za nchi yetu, alilipiwa dhamana ya 5 million tshs, mbona hadi leo yuko uraiani? ? Na jamii yote wanamjua James delicious ni shoga na ushahidi wanao.

Hadi facebook kuna NGO sijui kampeni inaitwa
binti, inapinga mabinti wasiolewe wakiwa wadogo kwa madai itaharibu ndoto zao.

Ina maana kijamii, mwanaume ukiwa shoga huwekewi mtego wa kupelekwa jela ukafungwe 30 years, ila uki-sex na binti mdogo tena aliekwisha vunja ungo tayari, mara nyingi jamii itakujia juu ili ikufunge jela, hii ni logic ya wapi?? Kelsea Evelyn Salt Numbisa Leejay49 rubii financial services FaizaFoxy Depal Dejane Hannah mzabzab Mzee wa kupambania DeepPond Extrovert
 
Kesi ya kimchongo hii

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kijana David Ruya mkazi wa Tunduru Mjini – Ruvuma anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kukutwa na Mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku.

Baada ya kukamatwa mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 12 alikana kuingiliwa kimwili na mtuhumiwa huyo, lakini baada ya vipimo ilibainika kuwa walisema uongo huku simu waliyokutwa nayo ikigundulika kuwa na picha mbalimbali walizorekodi wakiwa chumbani.

Your browser is not able to display this video.
Chanzo: Azam TV
 
Tunduru au kusini mwa Tanzania ni hovyosana uislamu na umila umewamaliza mno watoto wadogo ,darasa latatu Hana bikra yaani ,anabeba mwanaume mama Ake mzazi anamuogopa
Sasa hapo uislamu umeingia vipi? Kama ni kusoma au kuolewa mapema hizo ni mila zao na hizo ziko sehemu zote hapa nchini. Kila kabila lina mila zake.
 
Dah, genye mbaya. Ubaya na hivi vitoto vya siku hizi mshipa wa aibu havina, yaani kanakuletea mitego sio mchezo. Pole zake mwamba, hapo sijui watamtupia Maweni kule aisee
 
Kwa mwendo huu wafungwa wataongezela sana . Kama wanafunzi 3000 wanapata mimba kila mwaka inamaana kuna Wafungwa wapya wakutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…