desayi
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 3,593
- 5,848
Dah mazoea na vibinti chuchu konzi ni kuachaKesi nzito sana hizi ila siku hizi nako zimeingizwa uhuni pia.
Kuna mchezo mpya siku hizi mama mwenye nyumba huwa anawafundisha maksudi mabinti wawe wanaingia vyumba vya wapangaji wa kiume.
Wakiingia vyumbani tu hata kucheki muvi, mama mwenye nyumba anamstua mtendaji wake na polisi wake waje.
Hapo kuchomoka uwe na zaidi ya laki 3, kama wanajua una kazi utatema hata milioni.
Wengine hawaitaji pesa wanakunyoosha tu ukaozee jela