Anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku

Anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku

Kesi nzito sana hizi ila siku hizi nako zimeingizwa uhuni pia.

Kuna mchezo mpya siku hizi mama mwenye nyumba huwa anawafundisha maksudi mabinti wawe wanaingia vyumba vya wapangaji wa kiume.

Wakiingia vyumbani tu hata kucheki muvi, mama mwenye nyumba anamstua mtendaji wake na polisi wake waje.

Hapo kuchomoka uwe na zaidi ya laki 3, kama wanajua una kazi utatema hata milioni.

Wengine hawaitaji pesa wanakunyoosha tu ukaozee jela
Dah mazoea na vibinti chuchu konzi ni kuacha
 
Wazee kuweni makini na vitoto vya siku hizi miaka 12 unakuta ni booonge la mtu, zigo hilooo!🤣

Sasa ukiwa mtu mzima na ukashindwa kuballance tamaa zako yatakukuta ya huyo njemba.
 
Mtoto wa miaka kumi na mbili gesti?Ni wa kuzibua mibao mpk akili ikae sawa.Ila kwa upande mwingine wa kulaumiwa ni wazazi wake.Pia jitu zima kama hilo anakosa wanawake huko mpk ahangaike na vitoto kidogo?peleka jela atajielezea hukohuko
 
Back
Top Bottom