ANATAFUTWA: Michael Juma anatafutwa na mwanae. Alikuwa askari magereza, mkazi wa Masasi na Mtwara mjini

ANATAFUTWA: Michael Juma anatafutwa na mwanae. Alikuwa askari magereza, mkazi wa Masasi na Mtwara mjini

Anna ni mtoto wa kwanza wa mzee Michael Juma(bahati mbaya jina la ukoo la tatu la huyu mzee bado sijalipata) alizaliwa miaka 1980s,kipindi hicho huyu mzee Juma alikuwa askari magereza katika gereza la MUSOMA.

Na mama wa huyu Anna alikuwa mnyiramba wa Singida(jina halisi pia hatujalipata),ila alijulikana kama MAMA ANNA-kambini kwao walipenda kuita hivyo kwa mjibu wa mama wa huyu kijana anayemtafuta.

Inasadikika Mzee alipoacha kazi miaka hiyo 1980s aliamua kurudi kwao mtwara na mara nyingi alikuwa akisema wazazi wake Mtwara walihamia tu ila awali walikuwa wanaishi MASASI.

Tunaendelea kumtafuta mzee kupitia Binti yake kwani kama yupo huyu binti anaweza kufanikisha kumpata mzee(kama bado yupo hai au la itasidia pia).

Tunajitaidi pia kufatilia zaidi kupata taarifa sahihi alipokuwa anafanya kazi ili tupata msaada zaidi licha ya kuwa tulichafanya kwa kipindi nyuma.Kipindi huyu mzee anafanya kazi huku MUSOMA alibahatika kuzaa mtoto na mama mmoja na huyu kijana wake ndo anamtafuta,lengo kuu aweze kumwona mzazi wake na pia kumsadia .

JF inaunganisha watu,kama kuna memba yeyote anamfahamu huyu binti au mzee mwenyewe basi ani PM.NAWATAKIA PASAKA NJEMA.
 
Aisee bado tu hujamoata... Siku nyingi nliisoma hii
 
Picha iko wapi?
Ndugu yangu maelezo yanaotoa picha halisi kuwa ni muda mrefu hata mhusika pia hawajui hawa ngugu zake,hivyo tunajalibu mawazo kujenga ufahamu kama kuna mtu anaweza kuwa ana jua hawa watu kupitia maelezo hayo hapo juu,asante sana mheshimiwa
 
anaetafutwa ni anna,baba'ke anna au mama'ke anna?

Na anatafutwa na nani

na kwa sababu gan?
 
Hivi mama ANNA MKAPA si yupo Mtwara naye? Tukonekti doti wazee
 
Ndugu yangu maelezo yanaotoa picha halisi kuwa ni muda mrefu hata mhusika pia hawajui hawa ngugu zake,hivyo tunajalibu mawazo kujenga ufahamu kama kuna mtu anaweza kuwa ana jua hawa watu kupitia maelezo hayo hapo juu,asante sana mheshimiwa
Sawa mzee
 
Mkuu, kwa kuwa ulikuwa unacheza na Anna michezo ya Baba na Mama na mlikuwa mkijificha sehemu moja kisha unamkula,kwa hiyo umeona umtafute ili upashe kiporo chako cha utotoni...Anna ni muke yangu kwa hivi sasa na kama unataka kukojoa dagaa basi endelea na hayo mambo yako
Umeamua kuwapoteza maboya washamba lkn,mimi nakumanya vzr kjana cheza mbali na hiyo chombo yangu!
 
You are right to speak any word you desire, but you are 100% astrayed.
 
Kwani kuna wanyiramba wa wapi bro
Alizaliwa musoma miaka ya 1979-1980.Baba yake anaitwa Juma Michael.Mzee Juma alikuwa askari magereza-Musoma miaka ya 1980 na mkazi wa mtwara.Mama yake Anna alikuwa ni mnyiramba wa singida.Kama kuna mtu anamjua au yeye mwenyewe yupo naomba tuwasiliane anaweza kusaidia kupatikana kwa taarifa za mzazi wake mzee Juma,ambaye anatafutwa na kijana wake.
 
Back
Top Bottom