Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 808
- 878
- Thread starter
- #81
Anna ni mtoto wa kwanza wa mzee Michael Juma(bahati mbaya jina la ukoo la tatu la huyu mzee bado sijalipata) alizaliwa miaka 1980s,kipindi hicho huyu mzee Juma alikuwa askari magereza katika gereza la MUSOMA.
Na mama wa huyu Anna alikuwa mnyiramba wa Singida(jina halisi pia hatujalipata),ila alijulikana kama MAMA ANNA-kambini kwao walipenda kuita hivyo kwa mjibu wa mama wa huyu kijana anayemtafuta.
Inasadikika Mzee alipoacha kazi miaka hiyo 1980s aliamua kurudi kwao mtwara na mara nyingi alikuwa akisema wazazi wake Mtwara walihamia tu ila awali walikuwa wanaishi MASASI.
Tunaendelea kumtafuta mzee kupitia Binti yake kwani kama yupo huyu binti anaweza kufanikisha kumpata mzee(kama bado yupo hai au la itasidia pia).
Tunajitaidi pia kufatilia zaidi kupata taarifa sahihi alipokuwa anafanya kazi ili tupata msaada zaidi licha ya kuwa tulichafanya kwa kipindi nyuma.Kipindi huyu mzee anafanya kazi huku MUSOMA alibahatika kuzaa mtoto na mama mmoja na huyu kijana wake ndo anamtafuta,lengo kuu aweze kumwona mzazi wake na pia kumsadia .
JF inaunganisha watu,kama kuna memba yeyote anamfahamu huyu binti au mzee mwenyewe basi ani PM.NAWATAKIA PASAKA NJEMA.