Anataka kurudi baada ya kukimbilia kwao

Nashkuru kwa kunielewa
 
Atakimbilia kwetu
 
Unakuja kimalizia jambo lake.hana jipya hawa bila msimamo.ni shida
 
Kamwe husifanye kosa la kumpokea mwanamke,atarudia Alichokifanya tena na tena.
 
Wapare kwenye ngasu ya Mshitu wana kipengele cha kuchagua dem na analetwa na kutakiwa kumtunza na kumjali..... shughuli yake ni jasho kutoboa ngozi.

Mengine ni siri ya Mshitu
shughuli yake ni jasho kutoboa ngozi.

Mengine ni siri ya Mshitu[emoji1752]
 
Hamna mtu mwenye alama wala sijui nini, ila kila mtu anatabia yake. Hilo uliloliongelea sijui kusameheana na kuvumiliana mwenzako alishalishindwa na akavunja hadi ndoa na familia pamoja na kukuachia umasikini, sasa wewe unataka utudanganye nini tena hapa. Uvumilivu umemshinda akakimbia ndoa, na akaivunja, je hiyo ndio dhana ya uvumilivu au kutuletea maigizo kwenye ndoa. Unatuambia hiyo ndio ndoa ilivyo, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwamba ndoa ndio mnavumiliana kwakuivunja na hata kusambaratisha familia kisha urudi mara ya pili. Hapo ndio kukosa uvumilivu sasa. Kwamba na mwanaume naye avumilie kwakuikimbia familia halafu kesho arudiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, hivi nyie kwanini hamkomboleki na mnajichimbia kaburi wenyewe. Point ni vumilia ila kamwe usijaribu kuivunja familia, otherwise huo ni utoto, ubinafsi na upumbavu, achana na ndoa kabisa haikufai.
 
Hizi ni fikra za mvulana,mwanaume hawezi kuwa na fikra kama hizi
 
Hizi ni fikra za mvulana,mwanaume hawezi kuwa na fikra kama hizi
Niaibishe nitukane navingine I don't know πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, maana ndio njia ya mwanamke akikosa hoja. Ila msimamo ni mmoja, hutatui tatizo kwakulikimbia tatizo bali kwakutulia na kupata suluhu. Ndoa na familia sio maigizo au u boyfriend na u girlfriend. Ni kiapo, umeamua na umeapa nieither utulie na ujenge familia yako au vunja kabisa na usitafute sababu
za kuonea huruma. Ndoa naiheshimiwe na watu wote, ilishaandikwa. Huwezi ukaheshimu kitu ukakifanya kama tambala la deki kwamba unaitumia utakapo. Sawa mtu mzima!
 
Kama uliapa ina maana walifundishwa mafundisho ya ndoa miezi mitatu.na wakaambiwa KABISA mko wawili,mwenzio akidondoka wewe mshike mkono umuinue.Mkeo kadondoka,kinachokusumbua usimshike mkono kumwinua ukampangusa vumbi Kisha mkatizama kill kilichomuangusha halafu maisha yakaanza upya ni nini???
Hivi hamkufundishwa kuvumiliana na KUSAMEHEANA????
 
Nenda kwa Yes tu ukatue zigo lako la Rohoni,acha kumuweka mtu Rohoni.
Kwa Yesu HAKUNA Visasi,HAKUNA jino kwa jino.Kwa Yesu ni KUSAMEHE TU.
Lakini hasira hata Mungu ameruhusu tuwe nazo.
MPOKEE YESU TU.
 
Njoo kwa YESU,HUTAJUTA.HUTALALAMIKA,ATAKUFUNDISHA KUVUMILIA NA KUCHUKULIANA.
ATAKUPA MOYO WA DAMU NA ATAKUTOA MOYO MGUMU HUO WA JIWE.
 
Mungu kawakutanisha wore mna mapungufu.kazi yako no kuyaondoa mapungufu ya mwenzako au kuyapunguza.Njoo kwa Mwanaume wa wanaume,njoo kwa Mfalme was wafalme,njoo utolewe moyo wa JIWE uwekwe wa nyama.
NJOO KWA YESU.
 

Anarudi kwako sababu we ni mzaifu
 

Kama mlishapata Watoto huna haja ya kumrejesha ikiwa aliondoka mwenyewe.

Ishi maisha yako, fanya mambo mengine. Kizazi cha sasa ukishapata Watoto idadi uliyoipanga alafu Mwanamke akakuzingua Achana na habari zao, endelea na mambo mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…