jokotinda_Jr
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 882
- 1,536
Naunga mkono
Naunga mkono hoja 📌🔨Hakuna mwanamke anaweza kukuvumilia ujipange kumuoa kwa miaka 10 usimlaumu bure.
Shida tunawalaumu kina mama bila kuwaza upande wa pili. Wewe unaweza ona ndoa sio ishu kuuuuubwa ila kwa kina mama huwa ni kitu sensitive sana. Umekaa nae miaka 10 huo sio uchumba tena ni kitu kingine. Kwani lazima umuoe kwa harusi kubwa, ungefunga nae ndoa nakuhakikishia huyo mama angekuvumilia kwa tabu na raha zako.
Ukishakuwa na mwanamke ambae age inasogea ndoa huwa ni sensitive sana. Kama unampenda muoe kisha muendelee kutafuta maisha pamoja.