cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo upange Nzasa huku au Mbagala Kwa Mbiku [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo upange Nzasa huku au Mbagala Kwa Mbiku [emoji23]
Wahindi wanapanga maisha yote ba wanasomesha watoto wao shule bora na vyuo boraHuyo ni kituko.
Haiwezekani anaishi nyumba ya kupanga then akapeleka watoto private school
Umechangia ukiwa hujui ipi ilikuwa point yangu,muhusika anataka kuhama anakoishi (currently akiwa analipia ada watoto wake private schools) ili ahamie karibu na mji ahamishie wanae Olympio Pre School Kayumba ya serikali iliyochangamka huyu kwako ni tajiri?Wahindi wanapanga maisha yote ba wanasomesha watoto wao shule bora na vyuo bora
Sio kila mtu lazima ajenge nyumba atapanga nani? Hata uende ulaya na Marekani kuna watu asilimia kubwa maisha yao yote huishi nyumba za kupanga na hawaoni shida
Mtu kupanga sio kuwa maskini hana hela
Ni maamuzi tu hataki kujenga uswahilini anapanga mjini hata kama ana pesa namna gani
Ni kweli lakini hayakuhusu ni maamuzi yake kama mzazi hangaika na wanao watoto.wa watu wengine achana nao koma kabisa kama ulivyokoma kunyonya ziwa la mama yako mzaziUmechangia ukiwa hujui ipi ilikuwa point yangu,muhusika anataka kuhama anakoishi (currently akiwa analipia ada watoto wake private schools) ili ahamie karibu na mji ahamishie wanae Olympio Pre School Kayumba ya serikali iliyochangamka huyu kwako ni tajiri?
Assuming angekuwa na hela hizo anazoenda kupangisha nyumba (obviously ni bei kubwa) karibu na mjini kwa nini asingeendelea kulipia hao wanae huko private akaendelea kuishi alipo sasa?maana hajataka kuhamia karibu na mjini ili apeleke wanae Feza School amehama ili awapeleke government.
Aaah!Ni kweli lakini hayakuhusu ni maamuzi yake kama mzazi hangaika na wanao watoto.wa watu wengine achana nao koma kabisa kama ulivyokoma kunyonya ziwa la mama yako mzazi