Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule

Jamani wana jamvi hili nalo linahitaji mjadala....hili si ni jambo jepesi tu la kuangalia Google map ilipo shule na kuangalia maeneo ya karibu na shule yanayokufaa.......

Sasa watu wanaendesha vipi maisha yao katika hali kama hii.....
 
Kuna apartments maeneo ya hapo upanga.ni sehemu ya kutembea tu kufika shule. Ila bei inaweza kuwa mara mbili ya ada ya huko private alikowatoa watoto
Ni sh ngapi kwa mwezi?
 
Muhimbili sina uhakika. Ila nakutajia shule za serikali ambazo ni english medium.

1. Chang'ombe Duce primary school

2. Mivinjeni primary school ipo kurasini

3. Mikongeni primary school ipo gongo la mboto, kama anaishi chanika hii inamfaa

4. Mlimani udsm primary school

5. Mapambano primary school ipo sinza

6. Ubungo NHC primary school ipo ubungo

7. Reginald mengi primary school ipo ubungo pia

8. Ali Hassan Mwinyi primary school

9. Mwenge primary school

10. Mirambo primary school

11. Bunju Mkoani primary school

Hizi ni baadhi tu. Ila english medium za serikali zipo nyingi sana na zina school bus
Asante sana mkuu hao Mivinjeni Primary School wa Gongo la Mboto wana school bus?

Kupata nafasi vipi? HeLa ya Kuwapa sio tatizo
 
Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule

Maoni na ushauri wako please
Ukata ni Noma,tupambane sana aisee
 
Asante sana mkuu hao Mivinjeni Primary School wa Gongo la Mboto wana school bus?

Kupata nafasi vipi? HeLa ya Kuwapa sio tatizo

Ndio shule zote hizo zina school buses.

huduma ya school bus ni vile vile kama olimipo wanavyofanya,

kwenye shule za serikali fee ya school buses hailipwi kwa shule, maana serikali haihusiki na ma bus hayo, hivyo kunakuwa na mtoa huduma pembeni ambaye mnakubaliana nae kama wazazi ambao mnataka bus lifike mtaa fulani
 
Thanks naweza pata contacts za uongozi wa Mikongeni Primary School ni me google nimeona kuna namba zao za simu lakini hazipatikani hewani
 
hapana sina namba zao. fika shuleni hapo utapata msaada zaidi
 
Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule

Maoni na ushauri wako please
Ukisikia akili za usiku ndo hizi yani ushindwe ku afford ada ya ems alafu uweze kulipa rent ya upanga au kariakoo seriously?
 
Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule

Maoni na ushauri wako please
Mwambie aulize shuleni route ya school bus yao inapita wapi na wapi, acheze na target ya maeneo hayo.
 
Wapo gongo la Mboto sehemu gani mkuu na nafasi wanatoa hawana kuzungushana

mambo ya nafasi siwezi kukupa majibu sahihi, maana sina mtoto anaesoma hapo. ila ni shule ya serikali kamaolimpio vile, utaratibu wa kupata nafasi utaelezwa ukifika hapo shuleni
 
tazama video hii ina maelezo yote kuhusu hiyo shule ya mikongeni

Wapo gongo la Mboto sehemu gani mkuu na nafasi wanatoa hawana kuzungushana
Ungesema mzazi kwa sasa anaishi wapi ni rahisi hata kukuelekeza private school affordable maana hiyo Olympio plus school bus bei zinakuja zilezile.

Montfort schools ni ya kanisa ipo Lumo shool fees ni 1.2 m, hapo ukikaa maeneo ya Lumo mtoto anatembea kwa mguu kwenda shule.
 
Wapo gongo la Mboto sehemu gani mkuu na nafasi wanatoa hawana kuzungushana
Thanks naweza pata contacts za uongozi wa Mikongeni Primary School ni me google nimeona kuna namba zao za simu lakini hazipatikani hewani
Kuna ndugu yangu ana mtoto wake anasoma hiyo shule mikongeni njoo Pm nikupe namba uwasiliane nae naamini utapata pa kuanzia
 
Hakikisha unapata kwanza nafasi hapo Olympio maana sio jambo jepesi kupata nafasi kwenye hizo shule
 
Mkuu usitu danganye huyo anaye hamisha watoto ni wewe siyo mwingine... Una vunga nini hapo..
 
mambo ya nafasi siwezi kukupa majibu sahihi, maana sina mtoto anaesoma hapo. ila ni shule ya serikali kamaolimpio vile, utaratibu wa kupata nafasi utaelezwa ukifika hapo shuleni
Asante Sana mkuu nitaenda
 
Back
Top Bottom