Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule

Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule

Huyo ni kituko.

Haiwezekani anaishi nyumba ya kupanga then akapeleka watoto private school anawatoa huko anaona ni hasara huku akitaka kwenda kupanga karibu na mjini huko mjini kodi zake ataziweza?siyo itafika gharama ile ile akilipia watoto shule binafsi huko alikokuwa akiishi?
 
Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule

Maoni na ushauri wako please
Kwa hiyo we ndo msemaji wake mkuu kakutuma uje umuulizie humu? Sawa mwambie akaulizie geto pale fire kwenye yale majumba ya msajili au hata upanga pia , ela yako tu iwe mfuko wa shati na sio kuleta songi songi abongisa...
 
kitendo cha kupeleka watoto privare huku yeye hana nyumba yake aliyojenga ni ujinga wa kwanza

pia kitendo cha kulazimisha waamie olimpio ni ujinga wa pili.

siku hizi katika mkoa wa dsm kuna shule za msingi zaidi ya 30 za serikali zinatoa elimu na huduma ya english medium sawa sawa na olimpio. hivyo atafute ya karibu na anapoishi
 
Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule

Maoni na ushauri wako please
Kwanza kabisa mwambie olympio haina maajabu yoyote kwenye elimu, pili kama lengo ni watoto wafike shuleni kwa urahisi basi anaweza panga nyumba upanga yote maana kama anaweza kupanga upanga basi uwezo wa kununua kamkebe ka kupeleka watoto shule anao.
 
Huyo ni kituko.

Haiwezekani anaishi nyumba ya kupanga then akapeleka watoto private school anawatoa huko anaona ni hasara huku akitaka kwenda kupanga karibu na mjini huko mjini kodi zake ataziweza?siyo itafika gharama ile ile akilipia watoto shule binafsi huko alikokuwa akiishi?
Amejenga chanika. Anataka shule ya. Karibu na mjini
 
Mnajitungia tu thread kujipa milage

Atoke private ahamie government school? Acheni kutunga nyuzi bila kutumia akili.

Sijui mna hasira gani na English Medium schools
 
inategemea na Uchumi Wake, Kama Anajiweza Apange Hapo Upanga, Posta au Kariakoo.
ila School Buses za Hizo shule Olympio na Diamond Zinafika Popote Pale Dar es Salaam.

NB; Umenikumbusha Mbali Daah, Hapo Olympio Kuna Jengo Moja Opposite na Shule Ni Ghorofa La Wahindi Ndo Nilikuwa Nalinda Hapo.
Nilikuwa Nanunua Wali Wa Jero Shuleni hapo, Mchana Unapita Hivyo .... Maisha Buana... !!!
So sshv umekuwa ceo
 
Mwambie apange Kinondoni Mkwajuni.

Mimi watoto wangu pia niliwatoa private nikawaleta Olympio.

Naishi nao Mkwajuni.
 
Back
Top Bottom