Pia mwambie aandae shekeli za kuhonga ili apate nafasi pale, maana akienda na mkono mfupi majibu ni hakuna nafasi.Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule
Maoni na ushauri wako please