johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Labda wanamtaarifu Mbatia ili aendeleze pale Mbowe alipoachia.
Biashara ni matangazo!
Biashara ni matangazo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikua wanadanga hao..hahahaHapo ndipo unagundua ufhaifu wa mtu kwahiyo wanataka kusema wslikuwa watumwa wa ngono miaka 5 mizima sababu ya Pesa. Njaa mbaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameolewa wale Mkuu, na Wana Watoto.Hata confidence hawakuwa nayo wakati wakiongea, walikuwa wanaongea huku wakitetemeka kudhihirisha walichokuwa wakiongea ulikuwa uongo mtupu.
Halafu kusema wamedhalilishwa kingono, naona wamejidhalilisha wenyewe, nani huyo wakutamani watu wazima wa umri ule?
Ni vyema wanaokimbia CDM wakatunga uongo utakaotunza heshima zao, sio kutunga uongo utakaowavua nguo wenyewe mbele ya jamii.
Sent using Jamii Forums mobile app
NCCR ipi hiyo unayoiongelea?Hizi kauli zao zinawatokea puani baadae. Chadema mna matatizo makubwa ya ndani mnapaswa kujirudi. Mnaenda kuifanya NCCR chama kikuu cha upinzani kirahisi sana kwa ubishi wa kipumbavu.
Andaeni taasisi huru itakayo kusanya maoni ya wabunge, madiwani na viongozi waandamizi na baadae kutoa mapendekezo wazi na yafanyiwe kazi. Hata ukiwa nje utaona kuna wachache wamegeuka ndio wenye chama na wengine hawapewi kipaumbele.
Baada ya uchaguzi mkuu wapenda mageuzi na wanaharakati watasonga mbele na NCCR na kuwasahau. Acheni kujipa moyo na comments za kwenye social media ambazo haziwezi kuwapa hata udiwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdee sio mtu mzuri kabisa!Wale akina mama wamejitoa ufahamu.
Walikuwa wapi siku zote kutoa tahadhari juu ya kunyanyaswa kingono? , ina maana walikubali kunyanyaswa kingono ili waendelee na vyeo?
Au ina maana hata huko wanapokwenda wakinyanyaswa tena kingono watavumilia ili mradi kulinda vyeo?
Na je akitokea mtu akataka awanyanyase kingono watakubali ili mradi wapate cheo watakubali ILA tu watamsema baada ya muda wa hicho cheo kuisha?
Kwa kweli wamezitia aibu familia zao, masikini wanawake wale walioshikwa akili na CCM
=====
Wabunge wakiolalamikia kuwa na unyanyasaji wa kingono ni Suzana Maselle (Mwanza) na Joyce Sokombi (Mara) ambao wametangaza kuondoka CHADEMA mara baada ya kumaliza kipindi chao cha Ubunge, Juni mwaka huu
Wamesema hayo Mei 22, walipokuwa wanaongea na waandishi, na kusema sababu nyingi za kuondoka kwao ikiwemo unyanyasaji wa kingono ambao hutokea kwa kuwa uongozi kwa asilimia kubwa unashikiliwa na wanaume.
Kwa hiyo hawa wanawake tayari weshaliwa kinguvu na wakatoa ushirikiano katika tendo hilo?Anaandika Anatropia Theonest Lwehikila (Mbunge wa Viti maalumu Segerea).
_________________
Somo la bure kwa wanawake wenzangu hasa wanaokihama CHADEMA. Endeleeni na tuhuma bandia dhidi ya chama kinachojua kilipowatoa. Leo tumependeza, tunanukia, shukrani halisi zimekuwa mateke.
Semeni yote mtakayo lakini aibu zaidi ni kina mama watu wazima (tena wabunge) kusema hadharani mmedhalilishwa kingono. Nafasi ya ubunge iliwapa exposure ya kujua wapi mpeleke malalamiko yenu. Mahakama mnazijua, Ustawi wa jamii mnapajua, hata TWPG viongozi wao mnawajua. Ilikuwaje mkae kimya miaka yote 5? AIBU YENU.!
_
Hata kama ingekuwa kweli, mnasifa gani za kuendelea kuwa viongozi kama hamuwezi kujisaidia. Mtawezaje kusaidia mabinti na wanawake wengine wanaonyanyasika wapate msaada kama ninyi wenyewe mmeshindwa kupata msaada? Mmechekesha kweli.
Nawasihi acheni kujidhalilisha na kuwadhalilisha wanawake wenzenu. Acheni shutuma za kitoto. Hao wanaowaandikia hizo 'statement' wanawapotosha sana.
Jamii inategemea kuwaona mmestaarabika baada ya kumaliza Ubunge wenu wa Viti Maalumu mkijiandaa kwenda kugombea majimboni. Sasa kama mnadai mmedhalilishwa kingono na mkakaa kimya kwa miaka mitano, mtawezaje kuwasemea wananchi kero zao? Mmeshapoteza point.
Endeleeni kusema uongo iko siku mtahitajika kupeleka ushahidi mahakamani. Badilikeni nawaonya.!
Aache kukurupuka. Anafanya makusudi kupotosha akijua nyumbu huwa hawatafakari. Wao ni kuzungusha mikono na kuunga mikono.
Hawakusema wamedhalilishwa. Bali walichosema ni kuwa "taratibu za upatikanaji viti maalumu chadema zinatoa mwanya wa udhalilishaji kingono"
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi jamii imechagua upumbavu kuwa style ya maisha.Zamani kidogo nilikuwa nilifikiri ni mtu ukishakuwa mbunge automatically utakuwa na akili.
Unakubali katumika kirahisi hadi unatia kinyaa