Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

Acha kuchanganya lugha! Nahisi najibizana na mtoto wa kidato cha pili.Hizo ni lugha tu,mlevi wa madaraka,mlevi wa pombe,mlevi wa chakula n.k mlevi ni mlevi.unajua maana ya Gluttony?
Hicho kifungu kinaongelea walevi wa namna gani?
 
Sawa mkuu! Yesu alipobadili maji kuwa divai kwenye harusi ya kana nadhani pia haipo kwenye bible yenu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnajiita mpo deep kwenye Bible na hukijui hiki kitabu!? Mpo serious na kwenda mbinguni kweli? [emoji23][emoji23][emoji23] Njoo mafundisho upate uelewa uongoke.
Sijasema sikijui bali nimesema hakipo kwenye kila biblia.
 
Sawa mkuu! Yesu alipobadili maji kuwa divai kwenye harusi ya kana nadhani pia haipo kwenye bible yenu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nikujibu kirahisi zabibu hutoa vinywaji aina mbili cha kwanza ni juisi ya zabibu ambayo huitwa divai na ziko kibao juice za zabibu cha pill ni mvinyo ambayo ni pombe kali

Yesu alibadilisha maji kuwa divai sio kubadilisha maji kuwa mvinyo Wa akina Chapombe !!!
 
Nikujibu kirahisi zabibu hutoa vinywaji aina mbili cha kwanza ni juisi ya zabibu ambayo huitwa divai na ziko kibao juice za zabibu cha pill ni mvinyo ambayo ni pombe kali

Yesu alibadilisha maji kuwa divai sio mvinyo Wa akina Chapombe !!!
MWA 19:20

Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu; 21akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake. 22Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake, akawaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje. 23Shemu na Yafethi wakatwaa vazi, wakalitanda mabegani mwao wote wawili, wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao; na nyuso zao zilielekea nyuma, wala hawakuuona uchi wa baba yao.

Mwisho wa kunukuu

Aisee Divai yako inalewesha bhn [emoji23][emoji23][emoji23]

Dah haya madhehebu mnapotolea mafundisho yenu si bure mnakufa mkikanyagana kupata mafuta ya upako,Wengi elimu kichwani ni sifuri! Hamna misingi ya imani.Nadhani mtoa maada mpaka sasa atakuwa ameshatambua kanisa sahihi la kujiunga labda aamue tu kushupaza shingo!
 
Kifupi ukiona kwenye Biblia inaongelea Divai inayolevya wanaongelea mvinyo Watafsiri walikuwa wakijichanganya .Ila rahisi kuelewa ukiona wanaongelea divai inayolewesha wanaongelea mvinyo agano LA kale sehemu kibao iko specific inaongelea sana mvinyo kama kilevi na agano jipya lime define wazi kuwa msilewe kwa mvinyo Bali mjazwe na Roho mtakatifu agano jipya linaweka mipaka wazi tofauti ya mvinyo na Divai

Agano jipya divai ni juice mvinyo ni pombe
 
Tafuta makanisa ya Ki Anglican hakika nakwambia hutojutia
Karibu sana tumwabudu Mungu ktk roho na kweli
Achana na mapokeo
 



Uko sawa mkuu Yesu tu ndo Kanisa la kweli.
 
Endeleeni kuabudu viroba na mchanga na cement+rangi, sijui dini ya kweli ila according to bible katoliki ni kanisa lililopotoka hata shuhuda za ibada zenu ni ungofu na ubatili mtupu.
wew unafikiri wakatoliki ni wapumbavu kiasi kwamba hawajui wanachokiabudu?

Mawaonaga walokole kama mafarisayo wa siku hiz
 
Tofautisha Kati ya kunywa pombe na kulewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…