Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

[emoji28][emoji23][emoji23] eti walikuwa wakijichanganya



Kanisa ni moja, takatifu,katoliki, la mitume
 
Umesema kweli kabisa.
 
Nenda kanisa la waadventista wasabato hutajuta na makanisa yake yanapatikana kila wilaya. Mkoa na sehwmu mbali mbali
 
Kanisa lolote lisilotaja jina la YESU usiingie.Kuwa makini Sana wengine utaja YES kijanja Sana na sio YESU.Jina la YESU linanguvu litajwapo hakuna pepo wala shetani usogea likitajwa,thus wachungaji na manabii washirikina huwa awalitaji kwenye makanisa yao hofu ya kuharibu mambo.
 
Njoo R.C bro
 
Tanzania Assemblies of God (TAG)
 
Njoo msikitini, hakuna kujiunga, hakuna masharti, hakuna fungu la kumi. Unaingia msikiti wowote, unaswali, unachota ilm unasepa. NI wewe na Muumba wako tu.
 
Anzisha lako tu ulifanye kuwa exactly unavyoyaka. Hata waliyoanzosha wengine, waliyaanzisha kwa kukidhi vigezo na matakwa yao.
 
Vp mkuu kwa Gwajima hutaki? Unaweka option ya kufufuliwa siku ukifa, unaapata na kondoo weupe wa kutafuna na askofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…