Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
jumuia ni kichaka kipya cha kuibia maskini; wanachangisha kila siku ujenzi kwa miaka zaidi ya 20 na ujenzi hauishi.Sasa kuna taasisi isiyokuwa na sheria? Afu wanajumuia ni haohao masikini wakiwemo, kushiriki ibada za jumuia ndo kigezo kikubwa sasa
Yesu aliitembelea nyumba ya kahaba na kukubali kufutwa miguu, Katoliki wanawatenga sana kuwahudumia watu kwa migongo ya sacrament! Hawana teamwork kwa waumini waoSasa kuna taasisi isiyokuwa na sheria? Afu wanajumuia ni haohao masikini wakiwemo, kushiriki ibada za jumuia ndo kigezo kikubwa sasa
Unawazungumzia mashahidi wajehovaKuna kanisa wanaita church of Christ. Litafute utanishukuru.
Kanisa la Waadventista Wasabato(SDA) mchungaji asipokuwepo wanashika zamu wazee wa kanisa, lipo kila mtaa na karibu kila nchi ulimwenguni, malezi ya watoto ni ya hali ya juu.. kuanzia akiwa tumboni(miaka 0-3) wavumbuzi, watafuta njia na vijana wakubwa. Sadaka mnasomewa mchanganuo.. asilimia kadhaa zinaenda ngazi za union,divishen,conferensi kuu ya ulimwengu huku kiasi kinabaki kanisani, wachungaji wanalipwa mshahara na ngazi ya ulimwengu na si pesa inayokusanywa kwenye ibada.5. Lisiwe kanisa linalotegemea mchungaji/ kiongozi mmoja!
Ni kwel lakin hakuna kanisa linalo ongoza kwa kuwaminya waumin wake katika kuwafundisha juu ya ukwel uliopo katika biblia kama RCHakuna Kanisa ambalo lina misingi bora ya kiimani na yenye kumpendeza Mungu kama Kanisa takatifu Katoriki la mitume. (Roman Carothic).
Kwanza lina misingi ya kiuongozi kuanzia chini mpaka juu… pia lina muabudu Mungu wa kweli…
Kati ya madhehebu sjawai elewa ni hili licha ya kuolewa ktk familia iliyozaliwa na kutulia humo🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ma mkwe ni shem
Kwa upande wako mkuu mi nmezaliwa familia ya kikatoliki kindakindaki ila baada ya kupata elimu nkajikuta SDAKati ya madhehebu sjawai elewa ni hili licha ya kuolewa ktk familia iliyozaliwa na kutulia humo🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ma mkwe ni shemasi
Bora uanzishe dhehebu lako maana kila lililopo lina misingi na sheria zake ktk imaniYesu aliitembelea nyumba ya kahaba na kukubali kufutwa miguu, Katoliki wanawatenga sana kuwahudumia watu kwa migongo ya sacrament! Hawana teamwork kwa waumini wao
kweli mtupu ila usingetaja jina wazi wazi.Yesu aliitembelea nyumba ya kahaba na kukubali kufutwa miguu, Katoliki wanawatenga sana kuwahudumia watu kwa migongo ya sacrament! Hawana teamwork kwa waumini wao
Kila mtu abaki na imani yake ilipo....hakuna aliyekwenda mbinguni akakuta dini flani wametengwa wanakula bata, wengine wanachomwa, ama waumini hawa wanabarikiwa mno kuliko waumini wa dhehebu flani hapa duniani.........Kwa upande wako mkuu mi nmezaliwa familia ya kikatoliki kindakindaki ila baada ya kupata elimu nkajikuta SDA
Hata akitaja yeye sio mhukumu wa mwisho.....wacha akosoe anavojuakweli mtupu ila usingetaja jina wazi wazi.
kila mtu kwake ila YESU ndio NJIA KWELI NA UZIMA.Kila mtu abaki na imani yake ilipo....hakuna aliyekwenda mbinguni akakuta dini flani wametengwa wanakula bata, wengine wanachomwa, ama waumini hawa wanabarikiwa mno kuliko waumini wa dhehebu flani hapa duniani.........
Tatizo ni unatumia kigezo gan kutambua hawa wana akili timamu? Maana kwenye iman unaweza ambiwa ukwel ukahis unaambiwa ujinga na anaekwambiaTatizo iyo namba 8.
Ni kweli mkuuKila mtu abaki na imani yake ilipo....hakuna aliyekwenda mbinguni akakuta dini flani wametengwa wanakula bata, wengine wanachomwa, ama waumini hawa wanabarikiwa mno kuliko waumini wa dhehebu flani hapa duniani.........
mafarisayo na masadukayo wanajiona na akili timamu, hata Yesu aliwasema,alisema atafuta akili zao wenye akili na hekima zao wenye hekima, aliwafukuza kwenye sinagogi wakifanya biashara ambapo hata siku hizi kama huendi jumuia na kuchanga hubatiziwi watoto wala kufungiwa ndoa, yaani hiyo ndo biashara. wamesoma na wana hekima za dunia hii ambayo mtume Paulo alisema ni kama mavi tu.Tatizo ni unatumia kigezo gan kutambua hawa wana akili timamu? Maana kwenye iman unaweza ambiwa ukwel ukahis unaambiwa ujinga na anaekwambia
Ukiwa na pesa unanyenyekewaTANZANIA ASSEMBLIES OF GOD
Kila mtu aamini anavoaminikila mtu kwake ila YESU ndio NJIA KWELI NA UZIMA.