Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

Sasa kuna taasisi isiyokuwa na sheria? Afu wanajumuia ni haohao masikini wakiwemo, kushiriki ibada za jumuia ndo kigezo kikubwa sasa
Yesu aliitembelea nyumba ya kahaba na kukubali kufutwa miguu, Katoliki wanawatenga sana kuwahudumia watu kwa migongo ya sacrament! Hawana teamwork kwa waumini wao
 
Hakuna Kanisa ambalo lina misingi bora ya kiimani na yenye kumpendeza Mungu kama Kanisa takatifu Katoriki la mitume. (Roman Carothic).
Kwanza lina misingi ya kiuongozi kuanzia chini mpaka juu… pia lina muabudu Mungu wa kweli…
 
Makanisa ya CCT yote yana hizo sifa
-Ukitaka kuokoka okoka
-Usipotaka sawa
-Ukija kanisani sawa na usipokuja sawa
-Ukifa wanakuzika kikubwa uwe muumini

Kuhusu Ushirikiano sijui unataka upi?ila wanashirikiana sana kuanzia JUMUIA hadi kanisani.kazi ni kwako
(Njoo kkkt huku sijaona tatizo kuanzia sunday school)
 
5. Lisiwe kanisa linalotegemea mchungaji/ kiongozi mmoja!
Kanisa la Waadventista Wasabato(SDA) mchungaji asipokuwepo wanashika zamu wazee wa kanisa, lipo kila mtaa na karibu kila nchi ulimwenguni, malezi ya watoto ni ya hali ya juu.. kuanzia akiwa tumboni(miaka 0-3) wavumbuzi, watafuta njia na vijana wakubwa. Sadaka mnasomewa mchanganuo.. asilimia kadhaa zinaenda ngazi za union,divishen,conferensi kuu ya ulimwengu huku kiasi kinabaki kanisani, wachungaji wanalipwa mshahara na ngazi ya ulimwengu na si pesa inayokusanywa kwenye ibada.

Hakuna ubaguzi na ni kanisa la haki.. waumini wanatembeleana na kusaidiana kwa hali na mali kupitia vikundi vidogo vidogo tunaita vikosi vinavyoundwa kutokana na mtaa mnaoishi.. karibu
 
Hakuna Kanisa ambalo lina misingi bora ya kiimani na yenye kumpendeza Mungu kama Kanisa takatifu Katoriki la mitume. (Roman Carothic).
Kwanza lina misingi ya kiuongozi kuanzia chini mpaka juu… pia lina muabudu Mungu wa kweli…
Ni kwel lakin hakuna kanisa linalo ongoza kwa kuwaminya waumin wake katika kuwafundisha juu ya ukwel uliopo katika biblia kama RC
 
Kati ya madhehebu sjawai elewa ni hili licha ya kuolewa ktk familia iliyozaliwa na kutulia humo🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ma mkwe ni shem

Kati ya madhehebu sjawai elewa ni hili licha ya kuolewa ktk familia iliyozaliwa na kutulia humo🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ma mkwe ni shemasi
Kwa upande wako mkuu mi nmezaliwa familia ya kikatoliki kindakindaki ila baada ya kupata elimu nkajikuta SDA
 
Yesu aliitembelea nyumba ya kahaba na kukubali kufutwa miguu, Katoliki wanawatenga sana kuwahudumia watu kwa migongo ya sacrament! Hawana teamwork kwa waumini wao
Bora uanzishe dhehebu lako maana kila lililopo lina misingi na sheria zake ktk imani
 
Yesu aliitembelea nyumba ya kahaba na kukubali kufutwa miguu, Katoliki wanawatenga sana kuwahudumia watu kwa migongo ya sacrament! Hawana teamwork kwa waumini wao
kweli mtupu ila usingetaja jina wazi wazi.
 
Kwa upande wako mkuu mi nmezaliwa familia ya kikatoliki kindakindaki ila baada ya kupata elimu nkajikuta SDA
Kila mtu abaki na imani yake ilipo....hakuna aliyekwenda mbinguni akakuta dini flani wametengwa wanakula bata, wengine wanachomwa, ama waumini hawa wanabarikiwa mno kuliko waumini wa dhehebu flani hapa duniani.........
 
Ni kweli mkuu
 
Tatizo ni unatumia kigezo gan kutambua hawa wana akili timamu? Maana kwenye iman unaweza ambiwa ukwel ukahis unaambiwa ujinga na anaekwambia
mafarisayo na masadukayo wanajiona na akili timamu, hata Yesu aliwasema,alisema atafuta akili zao wenye akili na hekima zao wenye hekima, aliwafukuza kwenye sinagogi wakifanya biashara ambapo hata siku hizi kama huendi jumuia na kuchanga hubatiziwi watoto wala kufungiwa ndoa, yaani hiyo ndo biashara. wamesoma na wana hekima za dunia hii ambayo mtume Paulo alisema ni kama mavi tu.
 
Back
Top Bottom