Uliona wap uongo ukashindana na uongo ili kupata haki?Milango ya kuzimu itajaribu kulishinda,Lakini haitaweza!
Milango ya kuzimu itajaribu kulishinda,Lakini haitaweza!
Endeleeni kuabudu viroba na mchanga na cement+rangi, sijui dini ya kweli ila according to bible katoliki ni kanisa lililopotoka hata shuhuda za ibada zenu ni ungofu na ubatili mtupu.Ww Una uhakika gan kama yamepotoka? Je kama www ndo umepotoka?
Hiki kitabu hakipo kwenye kila bibliaSira 31:27
Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi. Maisha yafaa nini bila pombe? Imeumbwa iwafurahishe watu.
Mkuu ulitaka nikupe uthibitisho,Nimekupatia.Tuelewane hapo kwanza!.Hayo mengine Elen G White anaweza kuwa na majibu! Msikilize tu mapokeo yake sio ya kibinadamu kama RC [emoji4][emoji4][emoji4]Uliona wap uongo ukashindana na uongo ili kupata haki?
Nimelelewa kwenye maadil ya kikatoriki lakin naweza sama mafundisho yao mengi ni mapokeo ya kibinadam na wala sio kwa mujibu wa biblia
JidanganyeSira 31:27
Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi. Maisha yafaa nini bila pombe? Imeumbwa iwafurahishe watu.
Sawa Nabii Tito!Endeleeni kuabudu viroba na mchanga na cement+rangi, sijui dini ya kweli ila according to bible katoliki ni kanisa lililopotoka hata shuhuda za ibada zenu ni ungofu na ubatili mtupu.
Tofautisha mnywa pombe na mlevi! Hata kula sana ni ulevi! Sijui mnafundishwa nini kwenye hayo madhehebu yenu mpaka mnakuwa hamjui logic simple kama hizi! Mpo busy na mafuta na vitambaa vya upako[emoji23][emoji23][emoji23]Jidanganye
1 Wakorintho 6:9-10
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala welevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.
Kwaiyo hapo ndipo kanisa katoriki likaanzishwa?MT 16:18
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
19 Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni. 20
Mnajiita mpo deep kwenye Bible na hukijui hiki kitabu!? Mpo serious na kwenda mbinguni kweli? [emoji23][emoji23][emoji23] Njoo mafundisho upate uelewa uongoke.Hiki kitabu hakipo kwenye kila biblia
Kanisa LA kwanza wala halikuanzia Roma mnadanganyanaKanisa aliloacha Kristo ni moja tu! Kanisa Katoliki.Hayo mengine si makanisa bali ni madhehebu tu yaliyoanzishwa na watu.
Kanisa takatifu la mitume (Mitume 12 aliowaacha Yesu)Kwaiyo hapo ndipo kanisa katoriki likaanzishwa?
Drunkards ni watu wa namna gani?Tofautisha mnywa pombe na mlevi! Hata kula sana ni ulevi! Sijui mnafundishwa nini kwenye hayo madhehebu yenu mpaka mnakuwa hamjui logic simple kama hizi! Mpo busy na mafuta na vitambaa vya upako[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa sijamtaja popote huyo mwanamke ila nimezungumzia kuhusu mafundisho ya kimapokeo ya kibinadam na sio ya kibiblia. Mfano: sanamu, amri 10 za Mungu ambazo sio sawa ma alizopewausa jangwani na Mungu mwenyewe, sara ya baba yetu uliye mbinguni, uwepo wa nguvu za bikra Maria kiroho, uwepo wa nguvu za vitu katika kuombea watu kwa Mungu( sanduku la agano, mnala wa mlinzi, nyota ya asubuhi, nk),Mkuu ulitaka nikupe uthibitisho,Nimekupatia.Tuelewane hapo kwanza!.Hayo mengine Elen G White anaweza kuwa na majibu! Msikilize tu mapokeo yake sio ya kibinadamu kama RC [emoji4][emoji4][emoji4]
Hii ni mbinu ya kuuficha ukweli tu. Ni kwel yesu aliwaacha mitume wake wakaitangaze injili lakin hakuna mtume ata mmoja alie enenda kinyume na mafundisho ya Yesu wala kuyabadiri kama mfanyavyo sasaKanisa takatifu la mitume (Mitume 12 aliowaacha Yesu)
Vitabu ulicho quote cha jalalaniSira 31:27
Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi. Maisha yafaa nini bila pombe? Imeumbwa iwafurahishe watu.
Wasabato bhana [emoji23][emoji23][emoji23]Kanisa LA kwanza wala halikuanzia Roma mnadanganyana
Kanisa LA kwanza lilianzia Israel alikozaliwa Yesu kuhubiri kusulubiwa na kufa
Mitume 12 wote hakuweko mroma hata mmoja
Yesu aliposema juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu hakuwa akimwongelea Petro alikuwa akijiongelea Yeye
kristo ndie Jiwe kuu la Pembeni na Mwamba
Kanisa hakuna linalojengwa juu ya binadamu awe Petro ,Papa,Kakobe,Gwajima au Roma,au yeyote
Kanisa Mwamba ni Yesu tu sio Petro au yeyote
Ni kufuru kusema kanisa limejengwa juu ya binadamu
Hata kusema sijui kanisa LA Roman au la KKKt au LA TAG au LA Kakobe au LA Rwakatare au LA Gwajima nk ni upagani
Kanisa ni LA Kristo full stop si Mali ya yeyote na hakuna mwenye hatimiliki nalo had I kuliita La Petro au LA Roman au LA SDA nk
Wakorinto ndio waliwatambua wakristo kuwa ni Wa kanisa LA Kristo
Acha kuchanganya lugha! Nahisi najibizana na mtoto wa kidato cha pili.Hizo ni lugha tu,mlevi wa madaraka,mlevi wa pombe,mlevi wa chakula n.k mlevi ni mlevi.unajua maana ya Gluttony?Drunkards ni watu wa namna gani?
Maria sio Bikira weweKiitikio: Utuombee
Maria Mtakatifu,
Mzazi Mtakatifu wa Mungu,
Bikira Mtakatifu, Mkuu wa mabikira,
wa Kristu,